Recent content by yusufu SAidy

  1. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

    Mzeee kwenye point ya Mafanikio kipengere namba moja ni vibaya sana kutotambulisha watoto wako wa nje Kwa bi mkubwa brother I had a lot of experience narudia tena hiyo ni mbaya sana
  2. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa: nani ana jukumu la kufua nguo zenu za ndani?

    Jukumu la kufua nguo za ndani ni la Mke hili likae hvo na halina mjadala lakini baba hata ukifanya hvo katika kusakafia pendo lenu basi unafanya hata Mara moja moja hii inasaidia kufanya Mpenz wako ajihisi ni mwenye kupendwa zaidi na hata ukifanya kosa basi una weza sameheka 😅
  3. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Mambo gani umejifunza 2024?

    Haswaaaa
  4. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Mambo gani umejifunza 2024?

    Chukua Pepsi big nalipa Mimi
  5. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 unakuachia kumbukumbu gani ambazo unadhani hautaweza kusahau?

    2024 Nimempoteza Baba yangu It’s Pain
  6. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Tukio gani uliwahi kufanya enzi za utoto wako hata wazazi/walezi wako hawalijui?

    Mimi baada tu ya kufika age ya 16 nilikuwa napiga Mbupu kila mdada wa kazi atakayefika pale home na mpk nachomoka home hakuna mtu alipata hisi wala tambua hiyo mbanga 😂😂😂
  7. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Mambo gani umejifunza 2024?

    Natamani kuacha ila nimeota Mara kadhaa kuwa siku moja ntampatia kanji 😂😂😂😂😂
  8. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Ni kauli gani uliwahi kuambiwa na baba, mama au mlezi wako ambayo baadae kabisa ndio ulikuja kuielewa?

    Nakumbuka Mama yangu Mlezi alikuwa ananihamsha asubuhi saa Tisa kufanya kazi za ndani na kulala saa Sita Usiku na alikuwa akiniambiaga utakiona cha mtema kuni yaan nyumba hii mpk uhame ila cha ajabu kahama yeye na Yale mateso kwangu yamenifunza jinsi ya kuishi na walimwengu like hata siku wife...
  9. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Mambo gani umejifunza 2024?

    2024 nimejifunza kuwa kubeti siyo kazi
  10. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Gari dar-bukoba choo ndani

    Mzee kama shida muharo basi meza fragile
  11. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Ni pombe gani huwa inakupa mzuka na kuona Dunia ni sehemu salama?

    Kila kitu kina muda Mama tym ya kuwekeza ipo ila pia starehe ina nafasi yake Get drinks then have a fun time
  12. yusufu SAidy

    JamiiForums Tanzania Twende tumalizane na weekend

    Jana mambo yalikuwa HV[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji95][emoji95][emoji95] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom