Edo anajuwa mbinu zote za kisiasa, na anafahamu kupanga mambo na ana ushawishi ndio maana hata makundi
Mbalimbali yalikuwa yanamtumia ktk harambee zao. Nani alikuwa anafanikiwa zaidi yake?
Mzee Kingunge yuko sahihi kama kanuni walizojiwekea ccm zilikiukwa lazima aseme, his mambo ya kuoneana haya ndo yameifikisha nchi yetu pabaya. Hata kama ulikuwa team lowasa ulichosema kimefika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.