Msekwa amshukia Kingunge

Msekwa amshukia Kingunge

Umejitahidi sana kumpigia chapuo huyo mzee mwenzako Mamvi na kalalamikia NEC kwa kukatwa jina lake sasa wewe mzee unahitaji kitu gani, maana kama kukatwa watia nia 37 wamekatwa pia iweje we uendelee kulalamika na kusema ni jambo haramu, wewe kwani Lowassa alikuahidi kitu gani mpaka umtetee hivo?

Naona sasa mzee umechoka bora upumzike tuachie Magufuli wetu, kama huna kazi bora uwe una lalala kwanza unajiaibisha tuu mzee mzima ovyooo!

Ndo maan Nape Nnauye kakujibu kwamba fanya unachotaka kufanya, sasa huoni kuwa ni fedheha hiyo? Dah aibu hiyo
 
Muda si murefu ataitwa msaliti. Maana hawachelewi hawa magambawaz. Mzee anatoa ishara ya kuchoka kwa chama.
 
Umejitahidi sana kumpigia chapuo huyo mzee mwenzako Mamvi na kalalamikia NEC kwa kukatwa jina lake sasa wewe mzee unahitaji kitu gani, maana kama kukatwa watia nia 37 wamekatwa

Uhuru wa kusema ni wa kila mtu ndo maana Mungu kampa kila mtu mdomo wake.
Kingunge anafikiri hao 36 si watu?? maana Lowasa Lowasa imekuwa mpaka kero. Akumbuke walikuwa 38. Mmoja ni Magufuri kapita wamebaki 37. Mmoja ni Mr. White hair kakatwa wameki 36. Fagio la jumla puu..yameisha.
====Tunaenda kwenye kampeni za Magufuri bwana fungeni mijadala====.
 
acheni siasa mzee kawachana live ukweli unawaumiza utawaharibia....mmevunja haki za waliochukua form mmevunja kanuni hawezi ropoka tuu hvii hivi
 
Umejitahidi sana kumpigia chapuo huyo mzee mwenzako Mamvi na kalalamikia NEC kwa kukatwa jina lake sasa wewe mzee unahitaji kitu gani, maana kama kukatwa watia nia 37 wamekatwa pia iweje we uendelee kulalamika na kusema ni jambo haramu, wewe kwani Lowassa alikuahidi kitu gani mpaka umtetee hivo?

Naona sasa mzee umechoka bora upumzike tuachie Magufuli wetu, kama huna kazi bora uwe una lalala kwanza unajiaibisha tuu mzee mzima ovyooo!

Ndo maan Nape Nnauye kakujibu kwamba fanya unachotaka kufanya, sasa huoni kuwa ni fedheha hiyo? Dah aibu hiyo
Ziba masikio! nani kakulazimisha usikilize yuko huru kuongea chochote anachojiskia, umechoka mwenzio nani hapa, wee tulia tu dawa ikuingie umechoka nin hatabado.
 
Mzee Kingunge yuko sahihi kama kanuni walizojiwekea ccm zilikiukwa lazima aseme, his mambo ya kuoneana haya ndo yameifikisha nchi yetu pabaya. Hata kama ulikuwa team lowasa ulichosema kimefika.
 
Huyu mzee nilianza kupoteza matumaini kidogokidogo hapo nyuma...lakini duh..safari hii amenichefua kabisa....lakini hii ndiyo tatizo la nipe nikupe....huyu mzee ameshakula pesa ya kutosha na alimhakikishia mamvi atapenya.....then akishapenya ndiyo wafanye kufuru...lakini mafuriko ya mamvi yamezuiwa kwa peni!sasa anahaha kuonyesha kuwa malipo yale yanafanya kazi.......matokeo yake umekuwa kituko sasa....hatukuheshimu wala hatuna imani tena na wewe kabisa sasa...mtoto wako kule SA amekuwa akijitapa sana kwamba nchi mnachukua wenyewe sasa....pamechimbika!
 
Mzee Kingunge amewavua nguo wanaCCM wenzake,kwa kuhanika madudu yaliyofanyika kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa ccm,jambo muhimu kwasasa wachutame-"msataarabu ukivuliwa nguo,huchutama"(kutafakari na kurekebisha kasoro huko waendako)
Hongera kwa kuside na wahalifu!
Kingunge alikamatwa live kampuni yake ikiibia Halmashauri ya zjiji psle zubungo.
Na kwa mtaji huo ndo anamsapoti Lowassa ambaye ana umaarufu wa kifisadi usiopendeza.

Usitegemee watu wenye sifa hasi kukusifia hasa wakieguliwa kwa sifa hizo hizo mbovu.
Hiyo ni common sense tu!
 
Muda si murefu ataitwa msaliti. Maana hawachelewi hawa magambawaz. Mzee anatoa ishara ya kuchoka kwa chama.
Huyo mzee ndo kachoka, hajui hata mabadiliko ya taratibu ndani ya chama chake.
Wengi tungekishangaa chama cha CCM kama kinge mpasisha mtu ambaye ana mtandao wa mafisadi nyuma yake kama marafiki.
 
Ukisoma umetulia kauli ya Msekwa ni ya kisiasa zaidi kuliko uhalisia. Kingunge kasema kanuni na taratibu zilizopo ambazo hazijahuishwa, mbona Msekwa hakusema zilibadilishwa lini?

Unataka kusema hata hao akina Nchimbi na wenzake ambao ni wajumbe wa kamati Kuu hawakufahamu hizo Kanuni zilizobadilishwa? Na hao akina Mtaturui wanaisdhi katika maisha ya zamani ambayo kilichosemwa adharani na mwenyekiti hapaswi kupingwa.

Ingawa mimi ni mmoja wa wale waliokuwa wanapinga kuteuliwa Lowassa lakini kwa maoni yangu huyu Mzee amejirejeshea heshima kwa jamii kwa kusimamia uvunjifu wa taratibu na kanuni.

kwa nini kanuni zimhusu Lowasa tu? Babu amekula hela ya mamvi anatakiwa afanye chochote kionekane
 
Uhuru wa kusema ni wa kila mtu ndo maana Mungu kampa kila mtu mdomo wake.
Kingunge anafikiri hao 36 si watu?? maana Lowasa Lowasa imekuwa mpaka kero. Akumbuke walikuwa 38. Mmoja ni Magufuri kapita wamebaki 37. Mmoja ni Mr. White hair kakatwa wameki 36. Fagio la jumla puu..yameisha.
====Tunaenda kwenye kampeni za Magufuri bwana fungeni mijadala====.

Wewe nani kutuamrisha tufunge mjadala?
 
Kingunge anaweza kuwa sahihi..ila angeonekana nguli kweli kweli kama angekuwa anawaongelea watia nia wote walioachwa....yeye kaonekana kulalia upande wa kuaminisha jamii kuwa ni Lowassa ndiye aliyeonewa pekee...na kwa kuwa toka awali alionekana kuwa ni mtia nia aliyekuwa anamsapoti, tumeishia kujumlisha 1 + 1 = 3...
Nafikiri na wewe ukumsoma vizuri na kumsikiliza vyema. Kama unayo video rejea tena alivyosema. Kawasemea wote. Kamati ya maadili kupeleka majina matano haikuwa sahihi haina madaraka hayo. Alisema wote 38 walipaswa kufikishwa kwenye kamati kuu n kuojiwa (tena akasema maswali sinzaidi ya matatu). Najua na yeye anajua hawakutaka jina la lowassa lifike hata Kamati Kuu maana hawakuwa na uhakika kama litaweza kukatwa huko! Lakini kama ni kusemea alisemea wote siyo Lowassa pekee.
 
kwa nini kanuni zimhusu Lowasa tu? Babu amekula hela ya mamvi anatakiwa afanye chochote kionekane
Kamsikilize vizuri, hakuongelea Lowassa tu bali wote 38 waliorejesha fomu. Najua wote mnafikiria alimwongelea Lowassa tu kwa sababu alidhajitanabaidha kwake na kwa sababu kupindishwa kwa kanuni (kwa mujibu wake) ililenga zaidi kutaka kumwondoa Lowassa. Alisema wote 38 walipaswa kufikishwa kwenye kamati kuu na kuhojiwa. Ni kamati kuu ndiyo ingetoka na majina matano baada ya mchakato huo, siyo kamati ya maafili!
 
kumbe ni gazeti la Uhuru = CCM...

Hv mnalisomaga haya magazeti ya Nape...urojo mtupu...pumba bin ujinga
 
Back
Top Bottom