Kama mnakumbukumbu nzuri mwaka1995 ndugu mrema alikua mashuhuri sana na ni mtu aliyekubalika sana ndani ya ccm kama waziri katika serikali ya ccm .
Jamaa alikua na enfluence kubwa sana mpaka watu wakaamini hana mpinzani.
Alipohama ccm nakumbuka kuna siku watu walisukuma gari lake likiwa limezimwa kwa umbali mrefu kutoka usalama mpaka uwanja wa urafiki dar es salaam palikua na mkutano pale huku fikra za watu wakiamini ndie raisi mtarajiwa kipindi kile
Hebu tujiulize ndugu mrema alifanikiwa??
Ndugu mrema yuko wapi sasa??
Ccm na mrema wakoje kwa sasa??
Same story imetokea tena je:::
Hizi tambo za mheshimiwa lowasa kuisemea mbovu ccm zinatoka ndani ya moyo wake ??
Je mheshimiwa lowasa kwenda chadema ni kwa mapenzi ya dhati au tatizo ni hii tasisi ya uraisi??
Je baada ya uchaguzi lowasa na chadema wakafeli wataichukuliaje ccm??
Haya ni baadhi ya maswali nimekua najiuliza majibu yake naona kama yana sintofahamu ndani yake
Time will tell
No same story!!!!
Kipindi cha mrema Nyerere alikuwepo,nadhani unaelewa kazi ya baba wa taifa!
Kipindi cha lowasa,hayupo.
Wakati wa mrema,watz wengi walikuwa bado hawajaamka uki compare na sshv ,hususani vijana wengi sshv na watz kwa ujumla wameamka Sana.
Hata mawasiliano kipindi kile na ss tofauti
Habari zinawafikia watu haraka sn,hivyo kurahisisha ht ushawishi!
Mtandao wa kuiba kura nk,el anaujua vzr sn !!
Ushawishi,wabunge,wenye viti wa mikoa/wilaya majumba ya ibada,vyuoni nk!
Kasikazini ndo kabisaaa!
Hivyo,tofauti ni kubwa ,hizo chache tu!