Hivi nyasi bandia zinazui magugu na nyasi nyingine kuota chini, je hapo suala la ajira umeifikiria kwa vijana wetu maana siyo kupunguza gharama peke yake. Je majerui kwa wachezaji, maana udongo mchezaji anapokita udongo na nyasi ni rahisi kusambaa, sio rahisi kwa nyasi bandia maana zimesukwa...
Wasalaam,
Nimeshangaa kuona kupitia bajeti ya 2021/22 serikaliri inaondoa kodi kwenye nyasi bandia ili kuhamasisha matumizi yake nchini, cha kushangaza sera hii imeungwa mkono na wabunge kama kwamba hawana uelewa wa masuala ya kimataifa ya mpira, hata TFF sikuwasikia wakitia neno wakati wanajua...
Katika mikataba ya uwekezaji au biashara kati ya mataifa masikini na mataifa yaliyoendelea au baina ya makampuni ya kimataifa na mataifa masikini ni muhimu sana kuwa makini na rasimu ya kwanza ya mikataba, ukichemka hapo umekwisha uko mbeleni hakuna tena linaloweza kubadilishwa. Hata ukitafuta...
Funzo moja kubwa ni kuwa binadamu hatakiwi kujiamini kupita kiasi, you cannot be a lonely soldier and expect to win the war if not the battle 📷 you need real friends and allies
Naona watu wengi hawajui kuwa kuwa Russia na USA ni majira, hawa ni majirani wanatenganishwa na arctic , hivi sasa wako wanagombania rasilimali za uko baada ya theleji kuanza kuyeyuka 🎌
Issue hapa ni ukweli wa uchambuzi kuwa upande mmoja unategemea uzembe au kutojua kwa upande wa pili ili uweze kusonga mbele, sasa taifa gani liko tayari kuendelea kufanywa ngazi ya kupandia mwingine!
Tanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words, na ndiyo hali halisi ilivyo na historia duniani ilivyo kwa dunia nzima kwa mataifa yanayshindana.
Nenda America ya Kusini ni ushindani na uhasama kati ya Brazil na Argentina, nenda Asia ni ushindani na uhasama kati ya...
Siasa za TZ ni raha sana yaani mtu yeye mwenyewe hajawahi kutubu au kuwaomba radhi wale aliowaumiza lakina yuko mstari wa mbele kuwataka wengine wafanye hivyo, loo hiyo ndiyo imani!
Watunga sera za uwekezaji wa Tanzania ni lazima wajue na kuelewa strategic long-term investment plan ya nchi za magharibi kwa bara la Afrika, ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kukabiliana na nchi ya Kenya. Tayari mkakati umebainisha nchi katika bara la Afrika zitakazo kuwa kitovu cha makampuni...
KENYA YUKO TU MBELE YA PAZIA UJUE KUWA NYUMA YA PAZIA HIZO ZOTE NI KAMPUNI ZA U.S.A NA U.K ZILIWEKEZA MITAJI KENYA WAKATI ZIKISUBILIA UJAMAA UANGUKE TANZANIA ULIPOANGUKA NDIO ZIKAVUKA MPAKA. FAIDA KWA WAKENYA NI KUWA ZILIWAPATIA UJUZI WA KUSIMAMIA MAKAMPUNI SASA BAADA YA KUJA TANZANIA HAZIONI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.