Hili ndilo tatizo kubwa tulilo nalo baadhi ya Watanzania - kubeza beza tu masaa yote!! Mfano: Ni wap i mleta mada amesema kwamba US A na Russia ni majirani - alikuwa a nazungumzia rivally kati ya Ma t a i f a h a y o mawili.
Mbona mleta mada kajieleza vizuri tu kuhusu undumila kuwili wa majirani zetu wa Kenya - hata siku moja hawawezi kututakia mema ha sa katika nyanja za Taifa letu kuinu ka kiuchumi,wanataka Tanzania iw e soko kubwa la bidhaa zao, hawat aki wawekezaji wa Kitanzania kwe nda kuwekeza Kenya, mlimsikia Rostam AzIz alivyo lalamika mbele ya Rais Uhuru Kenyatta,kwamba alinyimwa kibali cha kuwekeza kwenye usindikija wa GESI nchini Kenya!!