Malengo ya Mwl. Nyerere kutumia kiswahili kuwa lugha ya kufundishia ilikuwa kuwesha watanzania (Elimu msingi) kuwa mahili kuongea kiswahili, umoja na kuondoa ukabila, Sasa hili nadhani limeshafanikiwa Kwa asilimia miamoja, Sasa nawashagaa watunga sera, mitaaala kuendelea kushikilia kutumia lugha...