Recent content by yunus75

  1. yunus75

    Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo

    ni kweli soko hili lina wahudumu wengi lakini sio sababu ya kukata tamaa mfano kwenye sekta ya habari ushindani ulivyo mkubwa ki makampuni sikufikiri kama crown angeleta ushindani kikubwa ni imani na kile ninacho kifanya. pili nakupongeza kwa hiki unacho...
  2. yunus75

    Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo

    yes kama una malengo kama mimi tujaribu kupush hii kitu nicheki whatsapp 0672810196
  3. yunus75

    Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo

    Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo.
  4. yunus75

    Recruting ya JWTZ inaanza lini?

    Baada ya kutuma maombi ya jeshi la wananchi tanzania ni kwa mda gani majibu yanatolewa na kwa njia gani
  5. yunus75

    Kujitolea kwenye kampuni hasa viwanda

    Habari waungwana naamini kuna wengi sana walio nitangulia naamini nitapata mawazo chanya, kwa sasa nipo DSM ila nataka nitume maombi ya kujitolea kwnye viwanda vilivyopo Mbeya, Iringa, Njombe, na sehemu nyingine makampuni ya Coca, Mo, Asas, ili niweze kujitolea nina imani ya kuwa wanaweza...
  6. yunus75

    Biashara na imani za giza

    mpaka yanikute kweli
  7. yunus75

    Biashara na imani za giza

    Marafiki wa kiume na wa kike kuna changamoto kwenye biashara yangu ha kukaanga chipsi ina mfa mfupi toka nifungue ila watu wakija kununua wananiambia biashara bila mizizi haiendi. Mwengine akaja kuniambia katafute dawa ya mvuto wa biashara kuna mda najihisi kukata tamaa na sitaki kutumia miti...
  8. yunus75

    Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi

    sisi hapa kibaha polisi walitimba na silaha baada ya kupigiwa simu na raia kuwa kuna jamaa amemjeruhi nduguye na mapanga, askari walitaka kumuwasha jamaa risasi ila walimbeba na kuondoka nae ila hatuna feedbacks mpaka sasa
Back
Top Bottom