Unajua mi cion 7bu ya kumchambua Dk. Kikwete, inawezekana kabisa uongoz wake ukawa bora zaid ya hata ule wa Nyerere namaanisha "uwezo wa watu kufikiri" wakat wa enzi zile na leo ni tofauti kabisa hivyo n rahis watu kupata habar na kujua mwelekeo wa nchi tofauti na enz za ticha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.