Recent content by yumwema

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kuoa Kumbe Siku Hizi ni Upumbavu Kabisa

    Unaweka huruma kwenye kuoa ,,aisee lazima ulie tu mbele ya safari
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kuoa Kumbe Siku Hizi ni Upumbavu Kabisa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huwezi ona mwanamke ambaye anajimidu kwa kila kitu analilia kuolewa
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Ni mwendo wa kuzipiga tyu [emoji2][emoji2]
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    [emoji23][emoji23][emoji23] mbona uchawi tena jamni
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisaikolojia unahitajika

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] daah umenichekesha sana aisee
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Niongeze bidhaa gani kwe frem ?

    Mmmmh ,,ungemshauri tu kwamba aiboreshe ofisi ,si kwa maneno hayo jamn
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] unamaanisha na kwa wanawake wasiwe na mwanaume permanent au?
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

    Kiukweli umeongea point ex ni yuleyule watu watambue hilo. Ex habadiliki zaidi ukimludia ndo anakuumiza na kitu kingine ambacho nikikubwa kuliko kile cha mwanzo. Na anaweza kufanyia kitu kibaya hadi ukajiuliza huyu ni binadamu au nimnyama mana hatokua ata na cbembe ya huruma.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Ok
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Pw
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Hata Mungu anawahitaji wakosefu ili wamrudie ,,so Kama ww ni mkamilifu mshukuru Mungu lakin si kusema Muasherati
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Ndugu usiseme hivyo kwamba ninaakili za kijinga ivi unajuaje kama huyu mtu hakupendi kama bado hajakuonyesha viashiria? Na alionyesha kunipenda na tulipendana kwel Ila akaja badilika so usiseme mtu anaakili za kijinga
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Na ww kapime huenda umeshaachiwa ila hujajijua bado
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Nipo ala nadhani nilikosea kumpenda naamnin ningempata wa kuthamin upendo wangu angeenjoy Sana ,,bhc tu nimeishia kua single[emoji24][emoji24][emoji24]
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Naamini na mm nitakua poa tu
Back
Top Bottom