Recent content by Yuhunika

  1. Y

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    NASHANGAA SANA MNAMGUNDUA LEO HUYU KIMEO MWAFRIKA WA KIKE.MUULIZE ATA MTOT WA MKULIMA ALISEMA HUYU NI BONGE LA KILAZA.KWANZA ANA IMANI ZA KISHIRIKINA,PILI ANA JAZBA,TATU ANA MAJUNGU,NNE KAIGEUZA JF UKUMBI WA UMBEYA,TANO ANA USHABIKI BILA DATA.IN SHORT NI MAMA UMBEYA
  2. Y

    Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

    kaka hizo picha weka hapa tuzione email yangu haina umuhimu kwako,ata hivyo hizo picha hazitoi maneno yaliokuwa yakiongelewa.naweza kuwa sina point nawe unazo lakini point zako wewe kibaraka wa malecela unaleta point za uwongo hapa ,ndoto zako unataka tuziamini
  3. Y

    Zitto Afichua Siri Nzito

    Huyo Zito amekuwa ni msemaji wa wahisani siku hizi?
  4. Y

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    MAMA unatumia vibaya uhuru wa kuandika,wakati wa uchaguzi RA hakuwa mmiliki wa magazeti ya Rai wala mtanzania bali alikuwa ni Jenerali Ulimwengu ambae ni rafiki wa karibu wa Salim.acha kuongea husiyoyajua.
  5. Y

    Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

    Kaka wewe ni darasa la ngapi ambae unatupa data bila utafiti?asilimia 98 umeipata wapi? alafu uwezo wako wa kufikiri ni avarge sana ndio maana unawaza uchawi ata wa kuloga kura?????????hii kali
  6. Y

    Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

    KESI IMEKWISHA FUNGULIWA....NANUKUU :IMEFUNGULIWA KESI LEO .CIVIL CASE NO 42 OF 2008 MAKAMA KUU YA TANZANIA KANDAS YA DAR ES SALAAM.PAMBANO LITAKUWA KALI,UCHAFUZI UTAKUWA MKALI ZAIDI HATIMAE KWA NIABA YA WANAOONEWA NA KUSINGIZIWA KILA KUKICHA TUTASHINDA.
  7. Y

    Vimada wa Vigogo Mafisadi..

    HAYO NI TATIZO HUKO CHADUMA,CCM NI MAMBO YA KAWAIDA TOKA ENZI NA ENNI.UNAKUMBUKA WAKATI MZEE KAWAW ANAGOMBANA NA MSEKWA KWA AJILI YA ANNA ABDALA NA WOTE WAWILI WALIKUWA WAMEOA
Back
Top Bottom