Recent content by Yudatade Edesi Shayo

  1. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba, Kodi kwenye mafuta, Kodi kwenye M-pesa, Kodi kwenye vocha za Simu. Huu uchumi ni watu kweli?

    Uzurii kodii haina rangii ccm mbele kwa mbele
  2. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Mbona magari yao ya washawasha hayajawahi kukosa maji?

    Walafiiii wote wachumiaa tumbo
  3. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Mbona magari yao ya washawasha hayajawahi kukosa maji?

    Inasikitishaa sana mkuu
  4. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Mbona magari yao ya washawasha hayajawahi kukosa maji?

    Inasikitishaa sana
  5. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Mbona magari yao ya washawasha hayajawahi kukosa maji?

    Hivii kweli kariako sokoni na fire makaoo makuu ni Kama km 3!!makao makuu haya fire hydrants kweli? Mpaka wafuate maji airport? Ila wangesikia BAVICHA au mbowe wanafanya mikutano ya ndani wangekuja mpaka na vidumu vya maji ya washawasha! Ifike pahala kuwe na uwajibashwajii wa uzembe Kama huo...
  6. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Mkuchika kazii maalumu
  7. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

    Mnao mlaumu mh cathe mnakosea mboo Haina Cha uheshimiwa Wala Nini
  8. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Halafu Sabaya ni masikini,sijuii ataishii maisha gani lema,mbowe pesa ipo wamewekeza vya kutosha sabaya kazii kubaka wadada pale the don
  9. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Exposure kumbe Haina tija yoyote kwenye uongozi

    Bhana yanii imenishangaza kweli kweli tatizo la Elimu siyo Mfumo ni mtu binafsi huyu kasoma America Ila bogus
  10. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Exposure kumbe Haina tija yoyote kwenye uongozi

    Uko sahihi jamaa wamekuja na sababu ya kijinga kabisa,bila kujali wananchi
  11. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Exposure kumbe Haina tija yoyote kwenye uongozi

    Etiiii tajirii anaongezewa gari ha ha ha daaaah
  12. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Exposure kumbe Haina tija yoyote kwenye uongozi

    Ha ha ha ccm mavii matupu
  13. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Exposure kumbe Haina tija yoyote kwenye uongozi

    Nimepata somo
  14. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Exposure kumbe Haina tija yoyote kwenye uongozi

    Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza...
  15. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Hivi wale wazee Tunao ajiri majumbani kwetu Kama walinzi tuko serious kweli?

    Je anaweza pambana na hatari,au kusudio lako afungue geti na kufunga
Back
Top Bottom