Jeshi la Polisi Mkoani Mara linamshikilia Gimusi Murimi (42), Mkazi wa Wilaya ya Serengeti kwa madai ya kumjeruhi mkewe kwa kumuingizia panga sehemu za siri akimtuhumu kuchepuka
Kamanda wa Polisi Mara, Longinus Tibishubwamu amesema Mtuhumiwa anafanya kazi Katoro, Geita na Mei 25, 2022...
kuna jama niliona kambambia manzi mwendo kasi kambana dada wa watu atari
dada ahemi jama yupo nyuma naona anataka kutoa dudu kabisa
alafu jama yupo smart kabisa uwezi zania
manzi alisanda akasogea mbele kwa dereva jama kashalowa muda tu *****
to be honest hili swala la kumlala ndugu wako si vizuri
ndo sababu mikosi na laana haiishi kwenye mafamilia ya watu
au magonjwa aswa sukari,na mengineyo
unakuta mtuu anamla mtotoo wa baba mdogo wake au mjomba au shemeji
so bad tusijisifie kwa ujinga muda mwengine tujifunze kuepuka ujinga...
NGOJA NIWAJUZE
usione mchezaji anazingua alafu hakai bench
why ...mshara mkubwa unamlipaje mtuu asiefanya kazi
pia mikataba yao inasemaje
pia tatizo sio kocha man u ni timu ya biashara ndo sababu inawachezaji wenye
majina makubwa duniani na wenye mishara mikubwa pia
pia kunampasuko kati ya...
yesterday....................JANAAAA.
kaja demu getto nilikuwa nachatigi nae nikampotezea
jana nikasema acha nimcheki
me..hi
her..mambo duuh ndo umenikumbuka leo nilikuwa naumwa sana
me..pole uko wapi njoo home nikupe pole
her,tag location but sikai naumwa bado
me.ok we njoo
kimasihara
badaa...
Wanawake wasio na Kazi wanakuwa hawana mambo mengi. Ukitoka kwenye mihangaiko yako anakupokea na kukukaribisha Nyumbani kwa furaha. Utakuta chakula kishaiva, utakuta Watoto wasafi kama mmebahatika kuwa nao, hata ukimuachia hela ya matumizi anatumia Vizuri tena unampa hela kwa furaha kabisa...
wanawake wengi sana waliniacha pasipo sababu za msingi na wengi wao ni tama ya vitu vizuri
wengine waliondoka na sasa wamerudi najipigia tu natulia wengine ndo ivyo wanajutia
ila kwa upande wangu nimeumizwa sana na mapenzi ila sikuizi napiga na kupiga chini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.