Recent content by YUDA CHIKAWE

  1. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania Zitto atamani wapinzani waungane kuing’oa CCM madarakani

    Kweli nec ni tatizo lkn pia hao wapinzani nao wapo kwa ajili ya matumbo yao tu na sio kwa ajili ya wananchi. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania Zitto atamani wapinzani waungane kuing’oa CCM madarakani

    Asante sana zito,fanya kazi yako ya undumilakwili,ikifika karibu na uchaguzi unawavuruga tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania Kwanini upinzani wetu umeshindwa kututetea badala yake wanatetea wakwepa kodi na mafisadi ya ACACIA?

    Sio wapinzani tu,,,siasa ya Tanzania kwa ujumla ni tofauti sana. Wanasiasa Wetu wengi wanajali matumbo yao tu ni wachache sana wenye uchungu Wa kweli kwa wananchi wao. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Kuna watanzania Wa ajabu sana,sikutegemea mtu kama lisu anaweza kusaliti watanzania kwa kiasi hiki. Hivi anaweza kusimama hadharani na kujinadi kuwa anawatetea watanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania Mhe. Freeman Mbowe(KUB), Tundu Lissu na John Mrema wakutana Na Makamu Mwenyekiti wa EPP

    Jamaa anakula kuku tu huku msaidizi wake binafsi akiwa haonekani ,,,angalieni jamani watu wa kuwa support
  6. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania Breaking Newz...

    Namba D
  7. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania CCTV camera and Satellite dish Installation Training course starts on saturday,don't plan to miss.

    Dah aisee kama bahati,na Mimi naishi shangwe hapa,wewe unaishi kigamboni sehemu gani?
  8. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania CCTV camera and Satellite dish Installation Training course starts on saturday,don't plan to miss.

    Unapatikana wapi? Naomba mawasiliano yako kaka
  9. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha! Kampuni ya Dangote yaweka kila kitu hadharani hivi punde tu!

    Afadhali huyo mama katufungua maana kuna watu walikuwa wanajifanya wanaijua sana hii habari ya dangote kuliko hata wahusika.
  10. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania CCTV camera and Satellite dish Installation Training course starts on saturday,don't plan to miss.

    Muwe mnatoa hii course mara kwa mara,neipenda ila kwa sasa mambo yapo ovyo
  11. YUDA CHIKAWE

    JamiiForums Tanzania Arusha: Yaliyojiri kutoka mahakamani, rufaa ya Mbunge wa Arusha G. Lema, anyimwa dhamana

    Naona inatosha sasa,wampe dhamana tu ila na yeye anapaswa kusoma alama za nyakati
Back
Top Bottom