Recent content by Yt Aguero

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Maokoto yapoje mkuu Yan malipo wanalipaje?
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Oyaa njoeni tuminyike hapa kwa bakhresa maisha ndo hayahaya
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Shukran sana mkuu Vp mahitaji si wanahitaj na wao barua za serikali ya mtaa, wadhamin nk?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Saa 12 asubuh mpk saa 2 usiku
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Nmeingia jana asubuh nkatoka jioni sasa sielew na nauli sina. Ile kazi sio pw ni zaid ya utumwa, jana tulipiga mzigo mpk saa 12
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Hv ulivoingia siku moja na kutokwenda tena, je ulipokea mshahara wa siku ulopiga kazi saa ngapi? Maana nlingia day jana ila mpk leo saa 12 jioni hii pesa yang ya jana haijaingia afu nlitaka iwe km nauli.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Mkuu utaratibu wa kulipwa upoje upoje ni mkononi au vp? Na shift zao zipoje kuanzia muda gani mpk muda gani? Ni kubeba viroba vya unga au kuna kaz nyingne? Viroba vina uzito gani yan kilogram ngapi?
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na JF Fantasy EPL

    Iwekwe code tufurahie mtanange
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Hapo uliporudi buguruni ni sehemu gani na wanahusika na nn mkuu?
  10. Y

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

    Monastri kapumzisha wachezaj 6 wa first eleven[emoji1593]
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me 8 dec herufi Y Ke 22 nov herufi S Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Malaya ktk ubora wako. Unauzaje?
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

    Malaya hashauriki OVA Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Huyo jamaa ni f*l* km anahitaj vipaj atoe mke wake watu watundike mimba na sio kuongelea wake za wengne.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Siku hz ukinunua vocha ukiweka salio linakatwa.Mfano ukinunua vocha ya elfu 3 salio litasoma 2974 na points kadhaa. Acheni wizi
Back
Top Bottom