Recent content by ypointer4

  1. ypointer4

    Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

    Alipo Urusi hakuna wa kuingia, kuna watu hawapigwi mikwara ya njaa. Hakuna kurudi nyuma jinsi wanavyo mtafuta aingie kumi na nane zao na yeye ndo anawasubiri waingie kumi na nane zake ndo maana alianzisha yeye msako.
  2. ypointer4

    Wale wa home made products, njooni hapa

    Hii chemical napata wapi wakuu.
  3. ypointer4

    Wale wa home made products, njooni hapa

    Hapa kuna baadhi ya chemicals wanauza nimepata pale mitaa ya kkoo. Panaitwa kwa Noor ni duka la wahindi. Mtaa wa Swahili na Somali.
  4. ypointer4

    Wale wa home made products, njooni hapa

    Kwa Dar Es Salaam vifaa vya kutengenezea (chemicals) vinapatikana wapi.
  5. ypointer4

    For petrol heads wote

    Hapa ni wapi wakuu.
  6. ypointer4

    Gerson Msigwa kaondoka Ikulu nafasi ipo wazi, Pascal Mayalla ana nafasi ya kulamba uteuzi

    Hayati aliwahi kusema kwao maana ya Mayalla ni njaa.
  7. ypointer4

    GE2020 Hawa wakienda kupiga kura Oktoba 28, CCM hatuna chetu!

    Watu wanapenda kutumia msemo wa "kuona mbali" kama kigezo cha kutetea kile wanacho kiamini au kuona ni sahihi kwa mtazamo wao. (Huko mbali hivi huwa ni wapi?)
  8. ypointer4

    GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    Malori yamesomba watu sana sana wakiwatoa vijijini mbali sana.
  9. ypointer4

    GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    Aliwazalo mjinga ndilo humtokea.. Wahenga walisema...usishindane na wajumbe... na...Mjumbe hauwawi...sikio la kufa halisikii dawa...bora kuanza vibaya na kumaliza vizuri na si kinyume chake.
  10. ypointer4

    Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

    And that is what it is.....
  11. ypointer4

    Barrick agrees to pay $300 million to end Tanzania dispute

    Ili mtu atambulike kachimba kweli kweli basi ni lazima atakuwa kasoma Vyuo ambavyo ni bora sana Duniani. So kwa upande wa sheria wenye kuzijua vizuri undani wake ndo hao hao wanaofanya hii picha ionekane ni ndogo sana. Bado tumezidi kutapeliwa mchana kweupe hivihivi.
  12. ypointer4

    Barrick agrees to pay $300 million to end Tanzania dispute

    The agreement means a ban on export of concentrates will be lifted.. Leseni yangu mpaka hapo haina kazi.
  13. ypointer4

    HILI NALO NENO KWA WANAUME.

    Hili ni suala la mitindo tu unaweza kuwa Mvulana ukaniga tai mwanzo mwisho na Ukawa Mwanaume bado ukalipuka T shirt na Jeans mwanzo mwenga. Utu sio mavazi vaa vile uwezavyo ilimradi uvae kiheshima
Back
Top Bottom