Recent content by ypointer

  1. Y

    JamiiForums Tanzania haya wadau ningependa kujua kuhusu hili suala

    habari wadau napenda kuulizia ni vyuo gani vinavyotoa chet cha COMPUTER SCIENCE & ENGINEERING halafu viwe vinatambuliwa na SERIKALI
  2. Y

    JamiiForums Tanzania computer science & engineering

    naomba msaada wenu wadau Kama nikisomea computer science & engineering kwa ngazi ya cheti je?naweza kupata ajira serikalini?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Sielewi nikitu gani anakitaka huyo DR SLAA haswaa pale anapo dai kwamba wamechakachua matokeo {KWA HIYO ANAMANISHA KWAMBA YEYE NDO ALIPASWA KUSHINDA AU ANAMAANA KITU GANI?}:thinking: jamani asije tupeleka BAGHDAD
  4. Y

    JamiiForums Tanzania GE2010 AJABU: Kikwete amepata kura nyingi kuliko Dr. Slaa kwenye Jimbo la Mh. Mbowe?

    hapo hakuna cha uchakachuaji DR SLAA akubali kushindwa
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    NADHANI kila mtu atapata kuufahamu ukweli.Lakini kwa maoni yangu sioni kama ni busara kwa Dr SLAA kupinga matokeo na kusema kwamba yamechakachuliwa JE?NIWAPI ANATAKA KUTUPELEKA?:sad:
  6. Y

    JamiiForums Tanzania GE2010 naomba kufahamishwa msimamo wa matokeo ya URAISI

    ndio wadau naomba fahamishwa matokeo ya URAISI mpaka sasa nihaho tu:israel::israel:
  7. Y

    JamiiForums Tanzania GE2010 Musoma balaaaaaaaaaa.

    [poleni sana huko ila kuweni makini na hao watu
  8. Y

    JamiiForums Tanzania GE2010 Musoma balaaaaaaaaaa.

    huku musoma mambo yamekwenda mrama baada ya mtu mmoja anaye sadikika kuwa mwanachama wa CCM kuingilia maandamano ya CHADEMA na kumjeruhi mtu 1....Na matokeo yake kupigwa nusu ya kuuwawa na kupelekea kulazwa hospitali ya mkoa:A S-baby::A S-baby::A S-baby::puke:
Back
Top Bottom