utaanza na mshahara tgs d = 380,000/- omba mungu upangwe wilayani,dar utaadhirika.
At least uwe na Diploma. Lakini Bachelor recommended!naomba msaada wenu wadau Kama nikisomea computer science & engineering kwa ngazi ya cheti je?naweza kupata ajira serikalini?
Naomba kufahamu wakuu,kwa mtu mwenye CCNA(Cisco Certified Network Associate) naAt least uwe na Diploma. Lakini Bachelor recommended!
Naomba kufahamu wakuu,kwa mtu mwenye CCNA(Cisco Certified Network Associate) na
Bachelor Degree in Computer Science & Technology,ambaye ni fresh gradute,ana chance ghani ya kupata kazi hapo nyumbani bongo?
Thanks a lot kwa majibu,maoni au ushauri.
Thanks mkuu,your advice is noted with great appreciation!..You should have been working by now...having those qualification...as naamini kuwa ukiwa chuo mwaka wa pili tu kama ni creative kwa unaanza kwanza kujiajili...labda kama umesoma too academic zaidi ya practical.Wakati nina miezi sita tu chuo...tayari coastal airways walikuwa wananitumia kwa ajiri ya kutengezeneza software za ku record ticket purchase...see.Ila ni chuo cha wahindi sasa....ambao wao wanafocus mtu ajiari zaidi kuliko kuajiliwa...huu ni mtizamo...kama unaweza fanya kujiari...kuwa commited kama vile umeajiriwa...for the first 6 month itakuwa ngumu..ila utafanikiwa..Pia Jikite kwenye Graphic design then hao wanao taka kukujairi unafanya part time tu.Na kiofisi chako kina run...naona ndio mlengo wangu.
Thanks a lot mkuu!...get your ccnp and add msce na uje ujipatie kazi nzuri! Ajira nyingi za networking nimeona wanahitaji MSCE. I hope uko ktk right track. Chek na database kidogo. Inaendana sana na networking!
kwa hapa naona bado wako outdated! Ila kwa kuwa new techn. Imejengwa juu ya older concepts ni vema ukachukua current! It is a matter of time tutakuwa updated hapa home!