haya wadau ningependa kujua kuhusu hili suala

ypointer

Member
Nov 1, 2010
9
0
habari wadau napenda kuulizia ni vyuo gani vinavyotoa chet cha COMPUTER SCIENCE & ENGINEERING halafu viwe vinatambuliwa na SERIKALI
 

YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
2,600
0
UDSM Bsc Eng.
DIT B. eng
IFM ICT (you know it narrowly differ with Comp eng.)
AFAIK

Check na TCU kuona kama chuo kinatambulika na serikali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom