Recent content by Yovinus

  1. Y

    Dr. Slaa is officially jobless

    Dr. Slaa kakosa mwana na maji ya moto. anacho takiwa kufanya kwa sasa arudi nyumbani akaimarishe familia yake. Mungu kasababisha hayo kwake kwa malengo maalum kwani tangu aache ukasisi wa kanisa katoliki hajapata muda wa kutulia na kujenga ndoa yake. alipokee hilo kwa mtazamo chanya na aendelee...
  2. Y

    Rais Kikwete: CCM hainunuliki, vile vile Watanzania wengi hawanunuliki

    kwanza hata ingekuwa inauzwa kwa bei rahisi kiasi gani nani wa kuinunua? tunanunua vya maana siyo uozo kama ccm.
  3. Y

    GE2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

    Hapo kwenye elimu, wataboresha kwa kuleta laptop kwa walimu. Hayo nayo ni maendeleo ukilinganisha na miaka iliyo pita. "let's wait and see"
  4. Y

    Hivi kuvaa mlegezo ni fasheni au ni uchizi?

    Kiukweli mtu anakua akilini, kama ana miaka zaidi ya 40 anaendelea na mambo hayo basi huyo bado ni mtoto (kiakili). Jambo la msingi hata sisi vujana tujilee ktk maadili bila kusiingizia kwenda na wakati. wakati hautulazimishi tujidhalilishe kiasi hicho.
  5. Y

    ITV jamani, mmenunuliwa?

    Ni kweli kabisa. siku hizi hatutegemei chanzo kimoja cha habari. Hata wao wasipo tutangazia sisi habari tunapata tena wakati mwingine live.
  6. Y

    ITV jamani, mmenunuliwa?

    Kila taasisi ina utaratibu wake, wao hawafuati vionjo vya watazamaji wanafuata weledi ktk utangazaji. so si vema kuwalaumu.
  7. Y

    CCM Newala, yawahonga boda boda

    Jamani, hivi mtu akikukopesha amekuhonga? tujitahidi kuelewa vizuri lugha. kama wamekopeshwa wanapaswa kulipa swala la kuhongwa linatoka wapi? ikiwa hao vijana wanashindwa kutofautisha kati ya kupewa na kukopeshwa, basi waelimisheni. Au ndo wameambiwa walipe kura badala ya fedha.
  8. Y

    Ni MOTO WA MABUA Lakini Unaunguza.

    rais wetu na falsafa zake za kitaarabu taarabu hizo anajikuta tu ameongea.
  9. Y

    Tofauti ya mapokezi ya Lowassa Airports akiwa CCM na akiwa CHADEMA

    Ndugu yangu huenda wewe si Mtanzania, manake kwa dharau hizo hata wazazi wako utakuja kuwaita watu wa ajabu ajabu kisa wewe umeendelea japo kidogo kuliko wao. Haifai hivo bwana.
  10. Y

    Kutoka CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba akanusha fununu za kujiuzulu

    sasa hao wanao wajeruhi waandishi wa habari wana maanisha nini? kwani wana habari ndo watakao badili mawazo yake kama yeye ameamua?
  11. Y

    Let's talk about Psychology

    Psychological mind of adolescence
Back
Top Bottom