Recent content by youngxulesh

  1. Y

    Barua ya wazi kwa JPM- Sheria ya Bodi ya Mikopo ya mwaka 2016

    Inakuwaje Wao wanalinda thamani yao ilihali mshahara haubadiliki?
  2. Y

    Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Ko unataka kutuaminisha Mwanza ambao pia wanatumia bado Sana ama?? Vile vile arusha bado Sana?mzee Apa umepuyanga
  3. Y

    Wizara ya Maliasili na uwekezaji Kaskazini pekee

    Sasa mlitaka izo cable muwekewe barabarani ama? Kam VP tengenezen mlima mrefu mtawekewa
  4. Y

    Hivi hili basi la Arusha Express halina kidhibiti mwendo au ndo uwezo wa Scania.

    Hapana akuna izo zote za dom n arusha exp ana Za mbeya na dom
  5. Y

    Hivi hili basi la Arusha Express halina kidhibiti mwendo au ndo uwezo wa Scania.

    Arusha exp Ilikuwa zaman Co sasa Yaan apo atatangulia lkn arusha hafiki wa kwanza kam zaman kila cku huwa n mateka wa Machame na Shabiby Cjui n kuzembea Au nn! Nasema ivyo Kwan kila cku stend anafikaga WA mwisho Kat ya gar zote za kutoka 12
  6. Y

    Niliyoyaona njiani safari ya kutoka Sumbawanga hadi Arusha

    Mwambie Uyo!Watu wa kaskazin kuwa wasindikizaj iyo n zilipendwa, Kwa taarifa yake watu hao walishaendelea cku nyingi kimtazamo tofaut na pahala pengine
  7. Y

    Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    Kwan Dodoma pia c imepitiwa na Bonde LA Ufa na matetemeko huwa yapo VP Mbona Wao wanajewnga
  8. Y

    Nina safari ya kutoka Dar kwenda Arusha, nipande basi gani zuri?

    Panda bm coach, dar exp ile g7 DFR, extra coach Au Kidia one DFS
  9. Y

    Bil 25.4/- kukarabati barabara Pwani

    Yaan kiukwel m mwenyewe nmeshindwa kuelewa kwamba kibaha mjini Ndio wapi kila nkipitaga coz panaonekana Kam wilayani ilihali ndiyo makao makuu ya mkoa wa pwani wakat mwingne nlijisemelea si Bora ata Bagamoyo pangekuwa makao makuu coz binafsi cjapaelewa kibaha mji ulio karibu na dar(umbali wa km...
  10. Y

    Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Kaka n cfa gani kuu hizo? Kwa order nayoifahamu mm n Dar,Mwanza then Arusha! Cjui Kwa hao wanaoioverrate n Kwa kipi haswa? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Y

    Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Wewe una matatizo inawezekana ulikuja arusha kumtembelea ndugu yako cku mbili tatu ukasepa. Morogoro napajua vizur kamwe huwez ilinganisha iyo manispaa na arusha Kwa chochote.Eti uoni tofaut? Njoo na hoja nyingine umebugi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Y

    Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Kwan ktk miji kam dar izo hotel kubwa wanaozifaid n akina nani? Na unataka kusema Hakuna maeneo ya kiswaz uko pia? Huko watu Wangapi hawaishi Kam mbuz? Msiforce kufananisha miji Kwa kutumia vigezo dhaifu na kila mji una mapungufu yake ikumbukwe! Pia Mbuyu ulianza kam mchicha sasa huwez lazimisha...
  13. Y

    Nani amsaidie Hood

    Yaan tena mtu katoka arusha anathubutu kupanda hood huo n uwendawazim wa kiwango cha lami wakat kuna gar za kupita dom zinaitafuta mbeya saa nne Au tano tena pamoja na vts hii ya sasa
  14. Y

    Majibu ya Kuchekesha: Mlima Mrefu Afrika

    Una uhakika na usemacho?
Back
Top Bottom