Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 903
- 1,175
Hiyo Hajis ya Mbeya-Arusha ni noumaa kwanza nilikata tiketi asubuhi nikakosa nafasi Arusha Express nikapanda kishingo upande Hajis Scania moja ina sura mbaya hatari lakini huo mwendo wake saa 2:30 tushafika Chuga. Scania usiangalie sura ya basi kuna zile scania zinaenda Harare zina sura mbaya kama gari za movie MadMax in ni noumaa nasikia