Wizara ya Maliasili na uwekezaji Kaskazini pekee

Wizara ya Maliasili na uwekezaji Kaskazini pekee

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Wizara ya Mali asili na utalii imependezwa kuwekeza zaidi Northern circuit na kuwekeza kwenye Mlima Kilimanjaro - Cable Kilimanjaro.

Serikali imeacha tena Southern circuit kama Selous, Ruaha, Katavi, na Mwanza au Gombe

Mtwara, Songea na Iringa

Je Serikali haina macho kuona vivutio za kuwekeza nguvu na kutangaza ili wananchi wa huko kweingine wafaidi na Utalii?
 
Why Cable Car Kilimanjaro and not promoting other regions?

Mikoa mingine hawataki pesa?
 
Sasa mlitaka izo cable muwekewe barabarani ama? Kam VP tengenezen mlima mrefu mtawekewa
Mkuu ukiona hivyo ujue mleta mada hajui hata anachokizungumza, haelewi kwamba hiyo ni njia ya kuwarahisishia watalii hasa wale vilema na wenye umri mkubwa kuweza kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom