Recent content by youngsharo

  1. youngsharo

    CHALLENGE: Uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi unapata zawadi

    Jamani tuchangamshe ubongo kidogo, uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi kuna zawadi ya vocha unapata. Kwahiyo jitahidi kuuliza maswali rahisi ili watu wakupe majibu sahihi, wakikosa ujue nawewe umekosa vocha. Naanza mimi kuuliza; 𝗕𝗶𝗻𝗮𝗱𝗮𝗺𝘂 𝗮𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗰𝗵𝗼 𝗺𝗮𝗻𝗴𝗮𝗽𝗶?
  2. youngsharo

    Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    Al Ahly katoa sare kwa sababu hana Mayele, wala Fei toto, wala Morrison wala Aziz k.
  3. youngsharo

    Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    sasa kama bigwa ni dhaifu hao walobaki si ndo mi fo fo fo kabisa
  4. youngsharo

    Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    Sisi tuiwaze simba ambayo tunajipogia tu toka mwaka jana!
  5. youngsharo

    Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    Njoo nakusubiri tutaanzisha tukishatoka Sudani
  6. youngsharo

    Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    Huyo huyo mmoja kma anfanya vizuri kuliko ho wenye wengi ambao hawafanyi vizuri. Yanga wana magoli kumi kwenye champions league Simba ana goli 7 je mzuri nani hapo?
  7. youngsharo

    Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    𝘽𝘼𝙍𝙐𝘼 𝙔𝘼 𝙒𝘼𝙕𝙄 𝙆𝙒𝘼 𝙐𝙊𝙉𝙂𝙊𝙕𝙄 𝙒𝘼 𝙏𝙄𝙈𝙐 𝙔𝘼 𝙔𝙊𝙐𝙉𝙂 𝘼𝙁𝙍𝙄𝘾𝘼𝙉𝙎 (𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀) 13/10/2022 Habari ndugu viongozi wa timu yangu pendwa 𝙙𝙖𝙧 𝙚𝙨 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙖𝙢 𝙔𝙤𝙪𝙣𝙜 𝘼𝙛𝙧𝙞𝙘𝙖𝗻𝙨, au kama mnavojiita kiswahili 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮, au mnavotambulika 𝗧𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶. Kwanza kabisa nitoe kongole kwenu viongozi na wote mlioiwezesha Yanga kufikia...
  8. youngsharo

    Hii ndio ndege ya ATCL iliyokamilika, tayari kwa kuja Tanzania

    watanzania kwa kuaminishwa ujinga
  9. youngsharo

    Leicester City, Special Thread

    Leicester Cityyyy!!!
  10. youngsharo

    Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

    wote wanafiki2, mbona hakusema toka mwanzo ina maana walikuwa wanafichiana uchafu.
  11. youngsharo

    Simpendi, ila naogopa kumwacha

    Ila mi nashangaa la kwako la kucopy Mafikizolo
Back
Top Bottom