Recent content by YoungAge.org

  1. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Naomba tuelewane Ukwaju, Kuchukuana mbona ni mambo ya kawaida! Hata kama anachukuliwa na watu wawili watatu hivi, tunasema huyu ana wapenzi wengi au mtandao wake umepanuka. Ninachomaanisha ni uchangudoa haswa, yaani kupeleka biashara sokoni kwa mnunuzi yoyote atakayejitokeza.
  2. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Naomba tuelewane Ukwaju, Kuchukuana mbona ni mambo ya kawaida! Hata kama anachukuliwa na watu wawili watatu hivi, tunasema huyu ana wapenzi wengi au mtandao wake umepanuka. Ninachomaanisha ni uchangudoa haswa, yaani kupeleka biashara sokoni kwa mnunuzi yoyote atakayejitokeza.
  3. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Nafurahi kuwa umefikiria same way ka mimi, ni uzushi na biashara ya magazeti ya udaku
  4. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    ningesema itz the best answer - lakini hapo kwenye red umefanya fyongo.....
  5. YoungAge.org

    Umaarufu bila skendo

    Naona vijana wengi wastaa wa bongo wanaandamwa na kashfa na maskendo kila kukicha. Wengine uzinzi, wengine utapeli na wengine walifikia kuchomana visu. Nini kinapelekea hali hiyo? Kwani haiwezekani kuwa staa bila kuwa na skendo?
  6. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    kama single
  7. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    kwa majibu kama haya naona wengi ni 25-35 endeleeni kunisaidia
  8. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    kwanza ni kujua kuna nini humu, kisha kushiriki kilichomo nahc nimekujibu ulivyotaka sasa na wewe jibu swali la msingi, unadhani umri wa wachangiaji wengi ni kati ya miaka mingapi?
  9. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    Kama sio chekechea mbona hakuna age restriction katika kujiunga?
  10. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Niombe radhi kwa kunituhumu mnunuzi wa changudoa. Anyway post yako imenipa maswali kadhaa Unaposema kinachosababisha ni % ya mkopo, kwani changudoa wote wana dhiki ya pesa? Mwanadada kujua chuo fulani, faculty na hata course; huu ndio uthibitisho kuwa anasoma? Una hakika hakuna mainjinia...
  11. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    Kama ni kweli, unadhani kwa nini JF haina mvuto kwa vijana chini ya umri huo?
  12. YoungAge.org

    Rushwa ya ngono kwa walimu vyuoni

    wajilegeze wapi? wahadhiri ndio manyang'au wanatumia janja ya kalamu kuwananiliu watoto wa wenzao
  13. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    Kwa namna unavyosoma maoni na michango hapa JF, unadhani wachangiaji wengi ni wenye umri kati ya miaka mingapi?
  14. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    sasa hapo wao ndio wanajiuza au wewe ndio unajiuza?
  15. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Sikuelewi unaposema post yangu ni ya kubuni, kwani si hata wewe umebuni majibu haya? Nimefuatilia yanayoandikwa kuhusu wanafunzi na ndio maana nikabuni post hii, tatizo wapi mwalimu? Umesema ni vigumu sana kuwajua wanachuo, sasa hawa wanaosema wanachuo wanajiuza wanawajuaje?
Back
Top Bottom