Recent content by young_mesult

  1. young_mesult

    Wacheza Games. PC, PS3 , PS4 , XBOX 360 Ama XboX One?

    ps3 superslim 12GB bado naangaika kuichakachua ili nifaidi vizuri.
  2. young_mesult

    Playstation2 chipped for sale

    Kwa wapenzi wa playstation games,mashine ps2 inauzwa bado ipo katika hali nzuri.inacheza games za kwenye flash na kwenye cds.inakila kitu chake pamoja. -Unapata mashine yenyewe. -pads mbili original -flash yake 8GB ina games tatu (FIFA2015, GTA SAN ANDREAS na NEED FOR SPEED) -memory card yake...
  3. young_mesult

    Playstation 3 inahitajika

    young_mesult 14:07 Today oi wadau nahitaji playstation 3 iwe inacheza games za memo,bajeti 400k tsh. pia kama mtu ana ps2 nazo zinacheza games za kwenye flash nahitaji,bajeti 100k tsh.
  4. young_mesult

    Laptop inauzwa, HP Elite-book

    laki nne nanunua.
  5. young_mesult

    Nahitaji playstation3

    oi wadau nahitaji playstation 3 iwe inacheza games za memo,bajeti 400k tsh. pia kama mtu ana ps2 nazo zinacheza games za kwenye flash nahitaji,bajeti 100k tsh.
  6. young_mesult

    Hp compaq for sale

    Sawa kaka
  7. young_mesult

    Hp compaq for sale

    350 mwisho kaka...battery iko powa mkuu
  8. young_mesult

    Hp compaq for sale

    Iyo hapo mkuu
  9. young_mesult

    Hp compaq for sale

    Ongeza 50 mkuu uchukue mashine iyo.
  10. young_mesult

    Mke wangu simuelewi,wiki ya nne sasa nalishwa Dagaa

    Ulioa kabla ya uchumbaa au... (shake before use)
  11. young_mesult

    Hp compaq for sale

    Sio kimeo mkuu ipo powa,sema nimepata mashine nyingine sasa hii inabidi niuze ila mambo yangu yaende.
  12. young_mesult

    Hp compaq for sale

    Haaa uko mbali sana Ndugu.
  13. young_mesult

    Hp compaq for sale

    HP COMPAQ CQ62 AMD HDD 300GB RAM 2GB PROCESSOR 2.2GHz Kwa 370,000 tu. Kama upo serious ni PM
  14. young_mesult

    Pamoja na kumpa vitisho na maneno makali mpenzi wangu lakini ameniacha

    Alisalitiwa Osama sembuse vitisho vyako hvyoo vya kwenye bongo movie.
Back
Top Bottom