Recent content by young ja don

  1. young ja don

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kipya ulichojifunza mwaka huu ambacho ulikuwa haukifahamu

    Ukiwa mkweli kwenye mambo yako unayo fanya inapunguza strees, uoga na wasiwasi pia inakuongezea uwezo wakujiamini na kuchukiwa na kupendwa
  2. young ja don

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kipya ulichojifunza mwaka huu ambacho ulikuwa haukifahamu

    Kulala na mwanamke mpaka asubhi
  3. young ja don

    JamiiForums Tanzania Tatizo Sugu la Koo kutoa sauti wakati wa Kupumua

    Nenda kwa docta wa INT
  4. young ja don

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tushamjua mchawi wetu leo tunampa under 1.5 firt half
  5. young ja don

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

    Uwezo wako wa kufikiria mdogo sana Embu toa hoja za msingi za kumfananisha madiwani walio nunuliwa na mh..nyalandu una ecidence au unaongea arm chair thinking...boss[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4]
  6. young ja don

    JamiiForums Tanzania Maoni mbalimbali kutoka kwa viongozi/mitandaoni baada ya Lazaro Nyalandu kujivua ubunge na kuomba kuhamia CHADEMA

    Si kweli huyo kaamka na ndoto zake ndo kajakuandika huku na sikuzote ukiota kuwa unakitufulani kinyume chake huna kwa mfano unaota unahela ukiamka hamna kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4]
  7. young ja don

    JamiiForums Tanzania Maoni mbalimbali kutoka kwa viongozi/mitandaoni baada ya Lazaro Nyalandu kujivua ubunge na kuomba kuhamia CHADEMA

    Ni mawazo yako boss ila hayana ukweli wowote [emoji4]
  8. young ja don

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji23] tatizo sio timu mbona pogba na fellaini wakicheza mpira unaenda mbele why herrere usiebde kunatatizo
  9. young ja don

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Herrera hawaendani na matic ndomana tangu aumie fellaini magoli ya mekuwa machache
  10. young ja don

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

    Kwa data zipi au unafurahisha mdomo na mkono kuandika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. young ja don

    JamiiForums Tanzania Elimu ya UDSM ni mbovu kiasi hiki!! Mtu ana PHD haelewi maana ya Economic Benefit.

    Hana fact .....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. young ja don

    JamiiForums Tanzania Elimu ya UDSM ni mbovu kiasi hiki!! Mtu ana PHD haelewi maana ya Economic Benefit.

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. young ja don

    JamiiForums Tanzania Elimu ya UDSM ni mbovu kiasi hiki!! Mtu ana PHD haelewi maana ya Economic Benefit.

    Kinyume chake upo sahihi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. young ja don

    JamiiForums Tanzania Elimu ya UDSM ni mbovu kiasi hiki!! Mtu ana PHD haelewi maana ya Economic Benefit.

    Mtu mmoja huwezi kujaji chuo kizima fanya research kwanza watu wana tofautiana uelewa ww mwenyewe uwezo wako mdogo ndomana uDSM unaionavkwenye picha ..........usitake nikuite kilaza buree fanya utafiti wakina .....hata research hujui unakuja kuongea pumba hapa daah ....kweli mukiitwa vile...
Back
Top Bottom