Hao si walikuja mwaka Jana kujifunza kwetu au? Leo wao ndo wanatengeneza aisee Uhuru, njoo uchukue RAIA wako kabla watoto wa baba Jesika hatujawasha moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya hebu punguzeni mbwembwe basis tufanye nyinyi ni matajiri lakini mnashindwa kulipa hela za China na SGR yenu inabebwa 2023
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini wakenya mnapenda kujifananisha na TZ? Kwa kipi haswa? Na kuna bwege katengeneza uzi akisifia Jeshi la Kenya dhidi ya TZ nyie vipi? Viongozi wenu wanatibiwa hospitali hizo? Mnaacha kujadili maendeleo mnajifananisha na sisi kama Al-shabab wamewashinda kakojoeni mkalale msiifananishe...
Mngekuwa mpo bize kufatilia na mambo ya Kenya ili kuondoa ukabila mngefanikiwa sana, kama mngekuwa mnajadili japo pale Nairobi pawe pasafi hakuna nyumba za udongo kama posta dar mngefika mbali, tunasistiza kama mngeacha kujipendekeza kwa Trump wakati alitutukana naona mngefika mbali, KUMBUKA...
Habari wana JF, nilikuwa naomba msaada wa hostel karibu na chuo cha uhasibu kama mkinisaidia hostel zenye chumba self contained na ni cha m2 mmoja, basi mtakuwa mmenisaidia zaidi, NAWASILISHA.
Nilikuwa naomba msaada wa vyumba vya hostel karibu na chuo cha Uhasibu kurasini, kikiwa self contained na kuna kitanda kabisa itafaa zaidi naomba msaada wenu. Kama bei inafahamika pia naomba mnisaidie
Ni nasumbuliwa na mgongo, ni mda sasa naomba msaada wa dawa au hospital gani nzuri kwa matatizo haya, cwez kulala bila kukanyagwa mgongo nikichua inapunguza maumivu kwa mda tu.
NAWASILISHA
Unajua Bashite anataka atuzubaishe na huu upuuzi ili watupitishie bajeti mbovu kule bungeni, nyie mna focus na huu upuuzi wao kule wanapitisha bajeti za kipuuzi bila sisi kujua, dawa Yake kumpuuza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.