'You're playing with fire,' Russia warns Britain at U.N. Security Council meeting

Russia hana ubavu huo wa kumtisha Britain. Naamini wote wanazo Nuclear arsenals na kama wakipigana, Russia asitegemee ushindi kwa sababu Brits anao washirika wengi including USA. I guess hayo ni maneno ya kwenye kanga...

Kila siku anapoongelewa America mnasema anao washirika, anapoongelewa Brit poa mnasema anao washirika, hao wenye washirika hawawezi kusimama wenyewe?,
 
Kila siku anapoongelewa America mnasema anao washirika, anapoongelewa Brit poa mnasema anao washirika, hao wenye washirika hawawezi kusimama wenyewe?,
Hata mimi ndo hapo ninapo shangaa.Kama ulivyosema,pia akiongelewa Russia utasikia wakisema hana washirika,akiongelea USA au sasa UK utasikia ana washirika wengi.kumbe wao vita na Russia hawawezi bili washirika.lol
 
Kuna watu bado wamekariri B-52 mpaka Leo, hebu mtoa mada iheshimu urusi haipo unavyo fikiri.
Mkuu kuna baadhi ya watu uwe unasoma tu maoni yao usipoteze mda kujibu ni sikio la kufa.Watakuambia Rusia masikini,hana washirika,hana uzoefu wa vita,idadi ya ni ndogo n.k.Yaani kuna baadhi ya maoni humu ya kuiponda Urusi hata wamarekani wakiziona watawakatalia hawa wasahbiki wao,kwa sababu US wanaujua mziki wa Russia.
 
Iraq ya Sadam Hussein iliivamia Kuwait na kuichukua - Marekani na WASHIRIKA wakaungana kwenda kuitoa Iraq KIVITA
Urusi ya Putin Vladimir imeichukua jimbo ila CRIMEA - Marekani na WASHIRIKA wameungana kuiwekea vikwazo vya UCHUMI
nipe sababu zinazoifanya Maerekani isiipige Russia wakati makosa ya Iraq na Russia yanafanana. Kuwait na Crimea.
We noma mkuu, US anaonea vinchi vidogo visivyojiweza.
 
Russia hana ubavu huo wa kumtisha Britain. Naamini wote wanazo Nuclear arsenals na kama wakipigana, Russia asitegemee ushindi kwa sababu Brits anao washirika wengi including USA. I guess hayo ni maneno ya kwenye kanga...
Wakianza kupigana hao washirika wa uingeleza watajitahidi kutoingilia direct maana wanajua wazi hyo itakuwa ni kuhalalisha vita kuu ya tatu ya dunia so kama muingeleza yeye kama yeye hamuwez mrusi bhas kweli anacheza na moto..
 
Mkuu kuna baadhi ya watu uwe unasoma tu maoni yao usipoteze mda kujibu ni sikio la kufa.Watakuambia Rusia masikini,hana washirika,hana uzoefu wa vita,idadi ya ni ndogo n.k.Yaani kuna baadhi ya maoni humu ya kuiponda Urusi hata wamarekani wakiziona watawakatalia hawa wasahbiki wao,kwa sababu US wanaujua mziki wa Russia.
Hahaha...I like your comment. Anyway kwenye issue zinazomhusu USA vs Russia usitegemee professional analysis, ila mchanganyiko wa hisia plus mihemko. That's why nami nikachangia kishabiki hapo awali. Lakini ukweli ni kwamba Russia wako vizuri especially kwenye medani za kijeshi...I mean they have equipment and technology. Ila itakuwa neglegence tuki-undermine uwezo wa NATO, USE na US. Records shows Brits ndo bingwa wa military intelligence and Infantry. Mwaka 1984 kule Afghanistan kulikuwa na Mujaheddin/jihad war kati TALEBAN vs NORTH ALLIANCE. Historia inajirudia. The same thing happens in Syria, happened in AFghan as well. USA alikuwa upande wa serikali/Taleban...huku Russia aki-support rebels. Russia alishindwa vita ile mbaya. Hata hivyo, our opinion in favour or against parties to the disputes haisaidii chochote. tukisema Russia can beat US OR Britain...it maybe yes/No...kwa sababu hatuna ushahidi. Better to take sides, to keep hope alive..
 
Back
Top Bottom