Ni suala dogo lako ukicompare kama mwanamke angekuwa malaya,anatembea nje ya ndoa.muweke awe manager katika biashara zako huku wewe ukiwa MD,asubuhi unaamka naye mnaondoka pamoja,ukifika ktk ofisi yako aone kukuru kakara za kugombana na madereva,kuibiwa mafuta,kupata ajali gari etc,
kama na...