Habari wanabodi
Tunashukuru sana kwa matengenezo makubwa ya Barabara ya Bamaga to Shekilango...
Hakika imekuwa ya kuvutia sana sana
Lakini kosa la kiufundi ni kuamua kufunga taa za kuongozea magari...!
Kwa siku mbili hizi tu, nimeona hizi taa zimekuwa zikiongeza foleni badala ya kupunguza...
Kwanini Family Business za Wahindi na waarabu zinafanikiwa..?
Kubwa ni Kuwa
Wenzetu wanajenga Biashara katika Misingi ya Ujuzi....
Hivyo mtoto naye Hurithi ujuzi wa wazazi katika mfumo rasmi au usio rasmi..
Pili katika vipindi vya likizo watoto hupata muda mwingi wa kukaa kwenye biashara za...
Mzee Ekenywa..
Kutoka EKENYWA ENT CLINIC hadi EKENYWA SPECIALISED HOSPITAL..
Baba alikuwa Daktari bingwa kwa Kinywa na Meno na akafungua hospitali pale Magomeni Mwembechai na Mtoto Dr Emmanuel naye kabobea kwenye Fani ya baba yake hivyo anasimamia hospitali vizuri kabisa...
Pili Kairuki Memorial...
All in all sikuhizi mabasi hayatembei kabisa
Zamani Safari ya Dar mbeya saa 10 jioni upo Mbeya...!
Km mtu anaenda Tukuyu na Kyela saa 11 yupo tukuyu saa 12 yupo Kyela..
Jua halijazamaa safari imekwisha..
Na magari ya zamani hayakuwa Mazuri kama haya
Mashine ni Leyland Comet ,DAF , Scania 92 na...
Kama ataendesha yeye mwenyewe mnunulie , ila kama haendeshi yeye bora umfungulie duka la spare za bajaj na urembo wa pikpiki itamlipa zaidi. matokeotz,
Sent using Jamii Forums mobile app
In short FUSO ni gari korofi.
Rims ina pasua sana, Inaua Hub sana.. na takataka kibao.
Brake Cylinder na Brake Line zinaisha mara kwa mara kwa sababu ya kuzidisha uzito.
Yaani Better ukaachana na FUSO.
Fikiria SCANIA zaidi maana itakulipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote zinalipa SCANIA kipisi au Semi zinadumu sana ila kibiashara inamzunguko mdogo lakini pia matengenezo yake ni madogo.
FUSO inamzunguko mkubwa sana lakini ina gharama sana tena za hovyo na za kijinga sana Engine Overhauls kibao, Spring kuvunja kila uchao, Diff yake kila leo kuua msalaba...
Basi lina Axle 2 hadi 3 ila malori ya axle hadi 7
Hivyo basi huchukua muda mfupi kupima kuliko lorry
Pia thamani na umuhimu watu ni mkubwa kuliko mizigo..
Thus mabasi yanapewa kipaumbele...
Hata UDOM haka kamchezo kalikuwepo waliomaliza mwaka 2011 walikutana na huo mchezo na wengine walilazimika kulipa tena sijajua miaka ya mbele....
Dawa ni chuo kutoa receipts kwa kila mwanafunzi aliyelipiwa ADA na Bodi mara tu bodi wanapotuma pesa ya Ada chuoni badala ya kusign ile list ya...
Abood ya Mwanza ni Scania Marcopolo namba A chafu..
Hizo hazina vionjo , wao wanachoangalia ni uzima wa Jiko (Injini) na Transmission na Final Drive full stop..
Na zamani kipaumbele chao ni Kutoboa tu kwa maana ya kufika siku hiyohiyo...
Vionjo vionjo mule hakuna na ukitaka vionjo kwa njia hiyo...
Huyo jamaa ni noma..
Kapiga bei fasta kabla kitumbua hakijaingia Mchanga..
Musiba aliwahi kusema Vodacom ni msaada wa Mandela kwa CCM , sasa sijui ni akina nani ndani ya CCM waliichomoa Vodacom ndani ya CCM kiaina..
Sasa hiyo ni Vodacom , vp kuhusu mali zingine za chama zilizokwapuliwa kiujanja...
Umekwenda chuo kusoma sio kupikapika..
Fuata kilichokupeleka shule
Hivyo vitu vya geto ni petty asset ambazo havikusogezi popote..
Kama unataka kuloweka demu wako piga watu exile tu , wana watakuelewa..
Tatizo mnaendekeza ngono ndio maana mnakimbilia kupanga ghetto, ili mpate uhuru wa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.