Recent content by Youbettersleep

  1. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Anjela Kizigha ni nani, Kwanini pamoja na lundo la kashfa bado anateuliwa Ubunge?

    Niliwahi sikia fununu za kupigwa 60B za Jeshi na jina lilikuwa ni hili....enzi za JIWE. Huyu mtu ndio yule aliyepata zike kashfa au ni mwingine? Jamii siasa nipeni taarifa nkoi.
  2. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kama uzuri ingekua unagaiwa, ningempunguzua dada angu

    Mwanangu ko unajisifu wewe ni mzuri sio? Sina hakika kama mwaka una december huu.....utapigwa kende mbwa wewe. Haya haraka rudisha mazaga HQ ukaolewe
  3. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea mgodi wa Msata Geita

    Unadhan nini kifanyike? Ikiwa serikal haijali hali ya watu wake ni ngumu watu kutumia teknolojia katika suala zima la migodi. Serikali kipofu, watu wake vipofu na wewe n kiziwi mimi bubu 🚮🤣
  4. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea mgodi wa Msata Geita

    Ah fake ID unadhan inafanya kazi kama unavyowaza??
  5. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapiga pull wote

    Ila kheri apige nyero tu kuliko kununua maana kule ukianza arrrrrosto yake sio poa pia gono ni kugusa tu unalo......Puntero ninaamini sio mbaya sana ila ikizidi inakuwa mbaya zaidi kwani mwili ukishazoea bao 3 kwa siku ni ngumu sana kuacha...... Mtu anayepiga pull mara 3 kwa mwezi ni tofauti...
  6. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapiga pull wote

    Acha tu punyero tumeianzia mbali sana mkuu hadi kusimama hivi bado tunamshukuru Mungu, wanangu wameshindwa kuacha japo wamepunguza kiasi....kunaye mwana anao wake 3 ila bado anakula nyero
  7. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapiga pull wote

    Acha tu jana nilikuwa na jamaa yangu na mtoto wake hapa Mlimani nilicheka sana baada ya jamaa kuniambia ana watoto 3 wa kike ila hadi kumpata dogo ilibidi apige mabao 2 chini la 3 ndio akamwaga ndani eti ndio zao la dogo 🤣 nilicheka sana aysee
  8. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea mgodi wa Msata Geita

    Ukiwa mrefu watanidaka wanibane kende mkuu 🥱🇹🇿
  9. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapiga pull wote

    Mmmh hivyo tu Mimi mwenyew nilifundishwa nyero na beki 3 miaka mingi huko kisha nikakomaa nikiwa shuke "UBOIZINI" ST. MARRY SEMINARY NYEGEZI hapo tulikuwa tunashundana kukitupa yaan tunapanga mstari kisha atakayekuwa wa mwisho kumwaga kuna 5K.....(2009) Leo nikiwaona wanangu na familia zao...
  10. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea mgodi wa Msata Geita

    Kwa ufupi sana kipindi majanga yanatokea hapo mgodini MSASA GEITA nilikuwepo na niliona kila kitu hadi jioni inafika nilikuwepo kuangalia kila hatua iliendelea... Itoshe kusema taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari viliangalia mambo mengi sana hadi kusema hakukuwa na vifo, ila sisi...
  11. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapiga pull wote

    Utani tu mkuu ila nyero imenichukua miaka 3 kuacha kila siku unasema kesho...n.k
  12. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapiga pull wote

    Usijali mkuu nina miaka 16 tangu nianze kupiga nyeto na nipo fit kila idara.....nitaacha
  13. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapiga pull wote

    Hatuwezi kuacha nyerooo
  14. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja viwili Usagara Mwanza

    Hii post hamuioni au???
Back
Top Bottom