Recent content by yote yawezekana

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Ndoa anapanga Mungu hali iko hivi kwenye ndoa, Je ingekuwaje tungekuwa tunajipangia wenyewe?

    Amemaanisha ulitakiwa uandike Mungu kwa kuanza na herufi kubwa ukiandika mungu hiyo ni miungu tu. Ila Mungu analiye hai unatakiwa kuanza na herufi kubwa yaani Mungu na siyo mungu.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Haipiti wiki naota napiga pepa la form 4

    Ndoto yako kiimani ina maana sana. Huenda kuna stage au jambo ulitakiwa kulifanya au uliruka huko nyuma na wakati wa kulifanya jambo hilo umefika na hujui cha kufanya. Ndio maana unaona ndoto yako unaota hujui cha kujibu au umechelewa. Na ndoto kujirudia zaidi ya mara 2 ina maana kubwa sana...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Watu wa fani ya ushushushu wanasema wana hisia sita hivi hiyo ya sita ni ipi?

    Mkuu kama unaweza naomba unipatie mahubiri hayo ya mwakasege "signal za roho mtakatifu"
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Wanawake wasafi, werevu hebu wasaidieni wenzenu katika usafi huu

    Bwana akutie Nguvu aisee
Back
Top Bottom