Recent content by yoshua_bin_sira

  1. Y

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    Hata iweje, JPM atashinda tu...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    Either way, wamejaa na wanamsikiliza mzee...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Mbona unatuvuruga sasa mzee? Unauliza swali afu unatoa maelexo tena? Majibu utakuwa unayo!
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Magufuli, utakuja lini mikoa ya Nyanda ya Juu Kusini?

    Usiwabembeleze hao watu wa Mbeya...wajenge viwanda mzee atakwenda....Pwani anakwenda sana sababu wana viwanda...Mwanza kuna viwanda vinazidi kujengwa ila pia ni njia ya kwenda kwake Chato in case mmemchosha na kelele zenu anakwenda kupumzika...sasa akitaka kwenda Chato apitie Lindi? ...... Mbeya...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Magufuli, utakuja lini mikoa ya Nyanda ya Juu Kusini?

    Mbeya siyo jiji....jiji halina hoteli?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kujifunza kuhusu " Sumu ya kumuua mumeo"

    Wanawake wengi hawajielewi...wanafikiri wanaume wanataka mambo makuubwa kumbe ni vitu vidogo vidogo sanaa...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Kwa alichoniambia huyu Commando Mstaafu ni dhahiri walimshambulia Lissu ni wahuni tu

    AK47 zinatumika mbona mapori ya Kigoma huko na Kagera kutekea....
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yashukiwa na Muujiza, Utajiri Bila Jasho

    Ujinga wa hii nchi ni kwamba kila kitu kinahusishwa na siasa, CCM to be specific..watu kama wewe hawajielewi...maana kama mtoa uzi kazungumzia resources, wewe umeitoa CCM wapi? Wewe ni mfuasi wa siasa uchwara sasa unaharibu mada!
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yashukiwa na Muujiza, Utajiri Bila Jasho

    Mkuu uko sahihi...huyu mtoa uzi ametupa porojo tupu...kuanzia hiyo tafiti ya Waisraeli hadi kuja kwenye rasilimali eti kuwa ni mali ya ardhi, sisi hatujazitolea jasho....hivi hao anaosema wana IQ kubwa, hizo akili wamezitolea vipi jasho?
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yashukiwa na Muujiza, Utajiri Bila Jasho

    Porojo
  11. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

    Umekwenda off point....sio lengo la uzi hilo!
  12. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

    Damu ya Wakenya inamwagika kisa hawa watu....ni ngunu kumeza lakini Wakenya wangeamua!
Back
Top Bottom