Recent content by Yongpalmuel

  1. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Maisha ya muajiriwa wa kawaida kabisa hapa Tanzania kwa mwezi yanasikitisha sana

    Tukuyu tena inaingiaje hapa 😂😂😂
  2. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Kwanza pole sana kwa hii changamoto unayopitia, Najua umeshapata ushauri wa kutosha sana kutoka kwa wadau namna gan ya kufanya ili mambo yakae vzr Nataka kusisitiza tu kwenye swala la MIKOPO usije ukathubutu kujihusisha haraka haraka unaona unavyohangaika saiz itakuwa mara mbili yake...
  3. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Tumieni Kinga wandugu

    Ndio ni kwel kabisa bas kama kunauwezekano nipe namba yako simu nitakupigia kaka
  4. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Tumieni Kinga wandugu

    Huyu dogo ana sifa zote za kuwa mke muhimu apimwe afya akiwa fresh tangaza ndoa huyu anakupenda kwel hana sababu ya kwann anakupenda.
  5. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

    Aisee hii ni hatari
  6. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

    Habarini za saiz!? Kwa mtu anayefahamu kwa wilaya ya butiama ni zao gan la kilimo ambalo linalimwa katika maeneo hayo hasa zao kilimo la biashara !?
  7. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeenda kufanya kazi wilaya ya butiama.

    Habari za mchana? Nilikuwa napenda kufahamu kwa ujumla mazingira ya wilaya ya butiama kwa mtu anayeenda kuanza kazi katika wilaya hiyo. Kwenye upande wa mazingira na tamaduni za huko butiama ? Gharama pia za maisha huko butiama zipoje ? Kama nyumba na vyakula. Pia wanajidhughurisha na kilimo...
  8. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

    Kwanza nakupongeza sana kwa kuachanana na unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara, Endelea kufanya mazoezi pia kama unavyofanya lakini pia kabla haujalala piga push up hata 50 kila siku usiku out of kucheza mpira tu Lakini pia make sue unapata sex mara tatu kwa week ndugu yangu usingizi
  9. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Tabora nzega ni pazuri tu pia kwa kufanya maisha na swala la kuanza upya sio issue babe mizigo yako yote uje uendeleze ulipoishia Labda kama una miladi huko dar ambayo unaona ikija nayo nzega itakufa bas bas huko huko ila kama unazungumzia vitu vya kawaida tu toka huko njoo tabira kwa speed ya...
  10. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Ila kutapeliwa kunauma wakuu

    Mkuu ulishawahi kutapeliwa kama bado muda wako unakuja kuwa tayari
  11. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Ila kutapeliwa kunauma wakuu

    Pol Pole sana dada Lee tuwe makini sana na matapeli maana yanaumiza sana mambo kama haya nilishawahi kutapeliwa ada aisee siwez sahau hiki kipindi nilipata shida sana
  12. Yongpalmuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi

    Badirisha mfumo wako wa maisha unayoishi nae huyo mkeo saiz anaona unauhitaji mkubwa sana kwake sasa ondoa huo uhitaji wa sex kwake hudumia familia yako vzr piga nae story tu ukifika muda wa kulala ww nenda kalale kimya usiombe kitu Ila unavyokuwa unaomba omba kila siku madhara yake ni makubwa...
  13. Yongpalmuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu kafulia, simpendi tena kama zamani. Nifanyeje?

    Hizi ndo sababu zinazopelekea wanaume wengi kutokuwa na mahusiano serious na wadada angalia huu ujinga hapa Ila elewa tu hata huyo unayemuona bira kwa sasa kuna muda na ww atakuona kama takataka tu Mvumilie mdau mambo hubadirika tu tambua hilo na hawezi kuwa hivyo alivyo sasa siku zote
  14. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

    Brother unaogpa usahili !? Maana wamepost mpka huko kwenye website zao still unatafuta sababu
  15. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

    Mfumo wa interview ni mfumo ambao unatumika kwa nchi nyingi tu ili kupata mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi sema kwa kwetu hasa kwa waalimu ilizoeleka kubebwa tu na kupangiwa kituo
Back
Top Bottom