Habarini za mchana,
Naomba msaada wa mawazo juu ya hii kozi hapo juu nimechaguliwa UDOM, nikisoma hii kozi kuna uwezekano wa kuwa mwalimu wa Biology au inahusika na nini hasa nje na ualimu.
Mkuu mimi nataka mashamba ambayo hayana mikorosho nianze kupambana mwenyewe kutoka kufyeka mpka kupanda miche.
Maana hiyo iliyopandwa tayari nadhani ishatumika kama ulivyosema imeshazeeka mingi yao.
Habarini za leo wana Jamii Forums
Nilikuwa napenda kuuliza mashamba ya korosho kwa mkoa wa Lindi upatikanaji wake umekaaje na vipi gharama za kununua eneo la hekari moja.
Msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu juu ya hili.
Habari za mchana ndugu wana JF
Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shilingi ngapi?
Habarini za mida ndugu zangu ,, tumaini langu haujambo na mnaendelea vyema na utendaji Wa ujenzi Wa taifa letu . wakuu naomba kuuliza juu ya hizi kozi mbili za afya ambayo ni clinical medicine na nursing and midwifery , kwan kuna utata nakuona kupitia guidebook ya 2018/2019 qualifications za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.