Recent content by Yohimbine

  1. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania HOJA UTUMISHI waweke utaratibu wanaofauli usaili na kukosa nafasi wapewe kipaumbele katika ajira mpya

    Hapo sasa Ina maana ajira zitakuwa hazina usawa sio merit based bali zitakuwa time based Kwamba aliewahi kumaliza shule anawahi kazini kwanza hata kama anayefata ana uwezo mkubwa dhidi yake, wapewe priority waliowahi kumaliza sawa lakini sio hivyo 100%.
  2. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sifa mojapo kubwa ya PPP ni kupunguza Ukubwa wa Serikali, sio sawa kwa Serikali kumiliki mpaka stendi au Parking

    Serikali inamiliki mpaka Frame ! Hizi brains za huko hazina innovation kabisa.
  3. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Kila mtu ana kiwango chake cha ustahimilivu , Nimefanya kazi na huyo jamaa kwanza ni very humble na mpole sana pamoja na kukupita Kila kitu hadi dhambi anatenga muda na kukusikiliza pia anarekebishika ,Kuna nyuma ya pazia wanalofahamu wahusika wao tu wawili likaleta haya yote.
  4. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Unaamuliwa mambo au unajiamulia mwenyewe?

    There is no Freewill , The moment unazaliwa they decide your name, nationality even your upbringing depends on environment your surrounded.
  5. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

    Heshima ,Heshima , Punguza kelele, Epuka Kelele , Acha Kelele ,Mpe Peace of Mind , Acha Ujuaji unapokosea omba msamaha ,mwisho muombe Mungu kijana alone jitihada zako na kuziheshimu.
  6. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote

    Hii nchi imejaa wajinga wengi sana sijui tulimkosea wapi Mungu.
  7. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

    Soko la Real Estate Bongo michezo sana.
  8. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu

    Brother fungua PM kidogo
  9. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Huu uwekezaji kibiashara kwenye kambi zetu za JWTZ, nani kauruhusu?

    Wakati Jeshi letu linabuni mapato kwa kujenga Frame ,Wenzetu wanatumia Majeshi yao kwa tafiti kubwa za kisayansi ,wanafadhili research mbalimbali za uvumbuzi , wanatengeneza chanjo na ugunduzi mwengine unaosaidia binadamu, kwetu jeshi linapambana na Raia kwenye vitega uchumi halafu utasikia mtu...
  10. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Mzee Wasira ndiye Mzee pekee Tanzania ambaye akisimama na kuongea jambo unaona utajiri wa hekima na Busara alizonazo mzee wetu

    Kazi yako Ngumu sana ! Kama una familia i hope wanaishi vizuri kama huna i hope uchumi wako uko vizuri kama vyote huna basi wewe ni MPUMBAVU !
  11. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

    Kwanini Matajiri wanajiingiza kwenye Siasa ? Siasa ni Maisha.Inahitajika tu kubalance ni Mpumbavu pekee anaweza kuwaza siasa hazina Mchango maishani mwake.
  12. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Aweso amwaga chozi kisa kuulizwa “Kwanini licha ya miaka 64 ya uhuru bado maji ni changamoto?”

    Kuna namna Watanzania tulimkosea Mungu mahala mpaka tukapewa Viongozi wetu.
  13. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

    Ina maana hujui Siasa ndio inaamua huo uchumi wako ?
Back
Top Bottom