Recent content by yohane

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yaahirisha kura ya maoni

    Hii ni credit Kwa UKAWA Kwa kuweza kuona Kabla kuwa ni jambo lisilowezekana na kutangaza mapema kutokuwa sehemu ya jambo hilo.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Nougat, kibajaji, Simbachawene, Adam Malima wasirudi
  3. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa hili la Rwanda viongozi wenu wamekosa uzalendo

    Wakuu, Ushabiki kwenye masuala ya msingi kama hili la mahusiano na majirani zetu ni hatari sana. Nafikiri tunakosea sana kufufikiri kuwa Rais lazima aungwe mkono kwa kila jambo dhidi ya Watu wa nje. Ipo mifano marais walioangamiza mataifa yao. Haiingii akilini kuwa majirani wetu wote ni...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Makamba Jr: Sioni mtu mwenye sura ya urais/uwaziri kwa wapinzani

    Wakuu, Ili uweze kutoa kauli Kama hiyo ni lazima uwe umeathirika sana na madawa ya kulevya au bang.Hivi kina Aricado Ntagazwa ambao walikuwa mawaziri wanawachukuliaje.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Eddo aula NCCR-Mageuzi

    Maskini,mwache akajaribu kufufua makaburi labda atapata kipya.:help:
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Mtanzania kuunga mkono kauli za Kagame dhidi ya rais Kikwete ni zaidi ya uhaini

    Wakuu, Tuache jazba na ushabiki ktk suala hili kwa kuwa linaweza kutupeleka ktk vita hata Kama itadumu kwa siku moja bado madhara yake ni makubwa na ya muda mrefu. Ukweli Rais wetu amekosea. Kwa suala sensitive kama la migogoro ya Rwanda ambayo imesababisha vifo vya zaidi ya Watu 1,000,000...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Joyce Kiria baada ya kushauriwa amwambie mumewe aachane na siasa

    Usiyumbe. The future is yours. :clap2:
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Kikwete ammwagia sifa Lowassa

    Mnaweza kuchafuana leo ...mkapata mgombea mwenye nundu kila mahali......CCM kwisha sidhani Watanzania tutawaunga mkono kula matapishi yenu. Mmelikoroga linyweni hukohuko.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Sitta alalamika: Tabora wabunge wote ni wa CCM lakini haina hata barabara moja ya lami

    Wakuu, Huyu mama amekumbuka shuka mapambazuko, haipo tena nafasi ya kuwadanganya watu WA Tabora. Lakini kubwa aache ubaguzi eti majimbo ya wapinzani!!!!kana kwamba wapinzani si watanzania, wako katika NCHI yao nyingine, kweli akili ni ndogo.:shock::shock:
  10. Y

    JamiiForums Tanzania MKUU wa wilaya Arusha azuila precision ichelewe kuruka Arusha kumzuia balozi wa Papa

    Alifanikiwa kumshawishi kukutana na Rais?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Wakuu, Hivi ni mikutano ya vyama vya siasa tu inayolindwa? Hizo hadithi za polisi kuwa walipuaji walitokea nyuma zinaonyesha nini? Hivi jeshi letu ni kureact tu haliwezi kuanza jambo na kuzuia?
  12. Y

    JamiiForums Tanzania 2015 SIMIYU hatutaki kelele za CCM wala CHADEMA,ni wapuuzi sana,UDP daima

    Wakuu, Debe tupu haliachi kuvuma sasa UDP imefikia mwisho. Hivi chama cha John Cheyo mwenyekiti WA kudumu na Mdogo wake Isack Cheyo kaimu wa KILA kitu kinaweza kuwavutia maskini WA Mungu watu wa Simiyu?!!!!Piliton acha upimbi.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj

    Hive hue usanii na ubabaishaji utaisha lini? Huoni mashangingi anayotempbelea January hapo pembeni? Kwanza Bamako yenyewe mpya labda ndio anaanza KUTUMIA lakini lamsingi zaidi ni unataka ku justify matumizi ya bajaji? Hatuwezii kurudi nyuma kiasi hicho your thinking is very primitive.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

    Wakuu na huyo wa kwanza Kushoto ni Lusin de? Kama ni yeye basi hii hiyo safari ni ya washikaji tu. Si uhakika Kama anao uwezo wa kutoa pole kwa kingereza!.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Ufahamu na upeo wa baadhi ya wabunge na viongozi Chadema na ubabaishaji wa kisiasa

    Acha uzushi chumvi ikizidi mno huharibu. Hivi wapi Lema alisema ataamuru Watu watupe simu chooni kwani wote tulikuwa tunafuatilia tukio hilo.
Back
Top Bottom