Ufahamu na upeo wa baadhi ya wabunge na viongozi Chadema na ubabaishaji wa kisiasa

Ritz inaelekea unajuwa wasifu wa wabunge, tafadhali naomba wasifu na uwajibikaji bungeni wa wabunge hawa majembe ya CCM: Lusinde ( Mtera); Mwigulu Nchemba (Iramba sikumbuki vizuri); John Komba, Steve Wassira; Jenista Muhangama na Job Ndugai
 
Wanaokula kwa kutumia akili na kina Lema, Mbowe, Slaa, wote kutoka Kaskazini ebu fungua akili yako halafu jiulize kwa nini kwenye hiyo michango ya M4C, hawa wabunge hawaruhusiwi kufika Zitto Kabwe Kigoma Kaskazini, Silverster Mhoja Maswa Magharibi, Meshack Opulukwa Meatu, Said Afri Mpanda mjini, Salvatory Machemuli Ukerewe.

Pipooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooz

Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz
 
Wanabodi.

Baadhi ya wabunge wa Chadema pamoja na viongozi wao wameonyesha ubabaishaji mkubwa kwenye maswala ya siasa.

John Myinka, aachane na siasa za vijiweni na zile za kwenye mitandao ya kijamii zinazomtukuza na kumuona shujaa akavimba kichwa, nchi yetu ina watu wenye upeo mkubwa wa maswala mbalimbali na kukaa kwao kimya anaporopoka, ni kwamba wanampuuza Mnyika amekuwa mtu wa kuropoka tu.

Tundu Lissu, huyu mwanasheria aliingia katika siasa akitokea kwenye NGO moja wa Wanasheria wa Mazingira, Lissu alidai ana mkanda wa video ambao unaonyesha wachimbaji wadogo wakifukiwa huko Bulyankulu alidandia hoja ya Augustine Lyatonga Mrema, kufanya mropanganda hiyo ambayo aliamini kuitumia kujipatia umaarufu kisiasa zaidi kuliko fani yake, leo hii ukumuuliza vipi ule mkanda video hana tena na ameishasahau.

Godbless Lema, sihitaji kuyasema sana kuyasema mambo yake nadhani wote mnafahamu na siasa zake za kusukumwa na jazba, jana nimebahatika kumuona kwenye Star Tv katika kuchangia Chadema, kauli ya Lema anayashambulia makampuni ya simu ambayo ni wawekezaji, Lema kwa akili yake anadhani hizo kamapuni ni wapinzani wa Chadema, Lema anaongea kwa jazba bila ushahidi wala ufahamu wa maswala ya mawasiliano, Lema anatoa amri mbele ya TV nyie makampani ya simu tafadhali nawaamuru wachieni line watu wachangie la sivyo kesho asubuhi nitaamuru wananchi wote watupe line zenu chooni, sababu Chadema ni chama cha wananchi.

Mbali na maudhui hafifu,maneno uliyoandika kuwahusu Lissu & Mnyika umeyachukua,pasipo kuhariri, kutoka makala mojawapo ya gazeti la Tazama Tanzania la wiki iliyopita...Kuna jamaa aliliacha mezani nami nikapata fursa ya kulipitia...(sina kawaida ya kununua na kusoma jarida hilo).
Sasa tueleze kama wewe ndiye mwandishi wa ile makala...kama sivyo kwa nini uchukue kazi ya mtu mwingine na kujifanya ya kwako bila ku-acknowledge source?katika lugha za wanataaluma umefanya plagiarism ya wazi.
Aibu!
 
Na wewe kweli una mapungufu ya uelewa ebu niambie Lema kayafokea lini makampuni ya simu? Mnyinka na mwongozo wa spika nani afahamu, Lissu kufyatuka hovyo nani hajui?

Magwanda yanakuwasha nini mie ni Ritz wa JF...soma Zaburi ya 17.
 
Last edited by a moderator:

Swali langu lilikuwa moja tu; Je,wewe ndiye mwandishi wa ile makala ya ''Tazama Tanzania'' ya wiki iliyopita?
Ikiwa jawabu lako ni ndio,basi, hakika hilo ndilo gaazeti mwafaka kuendesha mazungumzo yako ya kizandiki .Na kama jibu lako ni hapana,kwa nini umefanya plagiarism ya wazi wazi,tena ya kazi dhaifu na isiyo na mvuto?
Sikukusudia na wala sitegemei kuendesha majadiliano ya kihoja na wewe..uwezo wako kiufahamu upo chini sana.
Right?

Hii ndio hatari ya kujiingiza katika siasa bila kujua unachokitaka kukifanya ndio kunakosababisha udandiaji wa hoja, uzushi, madai yasiyo mashiko, Mnyika amekuwa mbunge wa mwogozo spika hivi kweli Mnyika anajua upungufu wake umelifikisha wapi Jimbo la Ubungo? Ni vyema Mnyika kabla ya kuwahukumu wenzake kwa kutoa kauli za kitoto angejipima kwanza je, amelifikisha wapi Jimbo lake.
Mbona unamsakama sana mnyika kosa kumuita JK DHAIFU, kwa maendeleo ya Ubungo kama yapo chini wa kwanza kulaumiwa ni serikali kwa kuwa na ubaguzi wa kuleta maendeleo kwa yale majimbo yaliyochukuliwa na upinzani pia ikumbukwe JJ Mnyika kachukua jimbo lililokuwa na Mbunge wa CCM kwa hiyo moja kwa moja mbunge aliyekuwepo anabeba lawama pia kwani hakuweza kuliongoza Jimbo kimaendeleo na inawezekana hakukuwa na hata vipaumbele vinavyoonyesha mipango ya maendeleo kwa awamu kwa muendelezo kwa kila mwaka.
 
Swali langu lilikuwa moja tu; Je,wewe ndiye mwandishi wa ile makala ya ''Tazama Tanzania'' ya wiki iliyopita?
Ikiwa jawabu lako ni ndio,basi, hakika hilo ndilo gaazeti mwafaka kuendesha mazungumzo yako ya kizandiki .Na kama jibu lako ni hapana,kwa nini umefanya plagiarism ya wazi wazi,tena ya kazi dhaifu na isiyo na mvuto?
Sikukusudia na wala sitegemei kuendesha majadiliano ya kihoja na wewe..uwezo wako kiufahamu upo chini sana.
Right?

Ndio mimi una swali lingine?
 
Mbona unamsakama sana mnyika kosa kumuita JK DHAIFU, kwa maendeleo ya Ubungo kama yapo chini wa kwanza kulaumiwa ni serikali kwa kuwa na ubaguzi wa kuleta maendeleo kwa yale majimbo yaliyochukuliwa na upinzani pia ikumbukwe JJ Mnyika kachukua jimbo lililokuwa na Mbunge wa CCM kwa hiyo moja kwa moja mbunge aliyekuwepo anabeba lawama pia kwani hakuweza kuliongoza Jimbo kimaendeleo na inawezekana hakukuwa na hata vipaumbele vinavyoonyesha mipango ya maendeleo kwa awamu kwa muendelezo kwa kila mwaka.

Kumsakama kivipi mkuu si mwenyewe kaamua kuwa mwanasiasa kuwatumikia wananchi lazima watu wahoji utendaji wake katika jimbo la ubungo.
 
Acha uzushi chumvi ikizidi mno huharibu. Hivi wapi Lema alisema ataamuru Watu watupe simu chooni kwani wote tulikuwa tunafuatilia tukio hilo.
 
Kumsakama kivipi mkuu si mwenyewe kaamua kuwa mwanasiasa kuwatumikia wananchi lazima watu wahoji utendaji wake katika jimbo la ubungo.
Pole Ritz...Mbona hata hushtuki? Hujagundua hata wenzako wamekukimbia, umebaki peke yako kama mchawi!

images

Ritz, it's so lonely when you don't even know yourself!
 
Hao wameishiwa kisiasa, hawaana mwaanzo hawana nyuma, siasa zao majitaka watu wameshawashtukia hazina faida.

Wachumia tumbo tu hao hawana moja la faida kwa wananchi. Wanawachangisha wananchi kwa kutembeza kopo kwenye mikutano yao hallafu katibu mkuu anazikopa kujengea nyumba na kununulia fanicha za josephine. Source TUNTEMEKE
 
Last edited by a moderator:
huna jipya ww kilaza ,unatumia muda mwingi kuandika halafu pumba tu ,yaani unajiona kila kitu unajua.
 
yaani wewe kufikiri kote ndio umekuja na ujinga kama huu? sikutegemea ritz kama una upungufu wa akili ila leo ndio nimeamini maana sikuzingine nilikuwa naangalia post zako lakini kwa hili naona ume improve fail ile mabaya
 
Siwezi hata siku moja kukaa na kuanza kubishana na mtu mchache na kilaza Kama Ritz. Amefeli kila sehemu, kilichomfikisha hapo ni kubebwabebwa tu na ufisadi wa kutisha chini ya kivuli cha babake. Sijawahi hata siku moja kusoma point yoyote ya maana humu jf kutoka kwa huyo mtu. Anamasters ya kuungaunga tena kwa kubebwabebwa lakini bado anaupeo mdogo kuliko mtoto Wa form mtu.

Hata mbingu na ardhi zikutane kamwe hutoweza kujilinganisha na Mnyika kwa namna yoyote ile. Wewe na Mnyika kiupeo na kama mbingu na ardhi. Mpaka sasa sijampata mbunge yeyote mwenye uwezo Wa hali ya juu kwa upande Wa ccm kumlinganisha kwa namna yoyote ile na TL.

Ila mwisho wenu unakuja very soon, hapo mtakapokimbia hii nchi na ufisadi wenu Wa kutisha Kufanya nchi yetu Kama kitega uchumi cha familia yenu. ZOMBA hata sihangaiki naye kwani yeye ni mchumia tumbo na muendekeza njaa aliyekubali kuwa mtumwa Wa fikra na kuificha makalioni hiyo elimu aloipata huko ulaya mashariki. Shame on him.
 
John Mnyika, nakushauri jikite kwenye kutatua kero za jimbo lako wana Ubungo hawana maji hawana barabara wakazi wa Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni hawajawai kukuona wanakuona kupitia bungeni ukiomba mwongozo spika na kutoka bungeni baada ya amri ya Tundu Lissu.

Ritz Mnyika ni Mbunge wa watanzania wote achilia mbali jimbo la ubungo ambapo ndipo point ya kwanza ambayo watu wote kutoka nje ya Dar hukutana.Hoja na uteetezi wa Mnyika upo kitaifa zaidi siyo kijimbo na hii ni Kutokana na udhaifu wa wabunge wa CCM na hili linawauma sana.Nina uhakika Mnyika siyo Mbunge wako na hatakama wewe unaishi jimbo la ubungo kura yako ulimpa Hawa hilo alijalishi hao watu unaowasemea wa kimara temboni na bonyokwa mlikutana wapi?na wewe kama nani?na shida yenu ni kumuona tu au mnashida nyingine?Sisi tulimpa kura bado tunaimani naye natunaona kazi yake.poleeh!
 
Wanaokula kwa kutumia akili ni kina Lema, Mbowe, Slaa, wote kutoka Kaskazini wewe na Pro-Chadema wenzako mnafuata mkumbo tu ebu fungua akili yako halafu jiulize kwa nini kwenye hiyo michango ya M4C, hawa wabunge hawaruhusiwi kufika Zitto Kabwe Kigoma Kaskazini, Silverster Mhoja Maswa Magharibi, Meshack Opulukwa Meatu, Said Afri Mpanda mjini, Salvatory Machemuli Ukerewe.

Ritz kuna wabunge au watu wamekatazwa kufika kwenye M4C?kwasababu ya wanakotoka?This is New to me?4 the benefit ya wanabodi unaweza kutuwekea hilo katazo hapa?na lilitolewa na nani na likiwa na lengo gani?failure tutajiridhisha kuwa upo kazini unatumika
 
Ritz inaelekea unajuwa wasifu wa wabunge, tafadhali naomba wasifu na uwajibikaji bungeni wa wabunge hawa majembe ya CCM: Lusinde ( Mtera); Mwigulu Nchemba (Iramba sikumbuki vizuri); John Komba, Steve Wassira; Jenista Muhangama na Job Ndugai
Kuna kitu sitakisahau maishani kuhusu hili jembe la CCM. Nimewahi kuhudhuria mkutanao uliohutubiwa kwa mbwembwe na bwana Lusinde. Kama kawaida yake, alitukana sana viongozi wa CDM kwa maneno yake yaleyale ambayo hayawezi kuandikwa hapa. Lakini kinachofanya nisimsahau huyu bwana, ni pale alipohitimisha kwa kujaribu kuuelimisha umma juu ya umuhimu wa kuandikwa katiba mpya ya nchi.
Kwa mujibu wa Lusinde, kuna mambo matatu ambayo shurti yaingizwe kwenye katiba mpya.
1. Kutambua uwepo wa Mungu kwenye katiba.
2. Noti zote kuwa na picha ya baba wa taifa.
3. Viongozi wote waliotumia ofisi zao vibaya washughulikiwe.

Sina tatizo kabisa na yote aliyoyataka yaingizwe kwenye katiba mpya, tatizo langu kwa jembe hili ni sababu alizotoa kwa nini mambo hayo yanapaswa kuwemo kwenye katiba.

Hilo la kwanza kuhusu Mungu sitalisemea, lakini lile la noti na picha ya baba wa taifa alisema hiyo itasaidia kukomesha kushuka thamani ya fedha zetu akitolea mfano kuwa Marekani fedha zao zote zina picha ya George Washington. Sasa kama fedha zote za marekani zina picha ya Washington, hilo sina hakika, lakini ninao uhakika kuwa kuwepo tu picha ya Washington au Nyerere kwenye noti haiwezi kuwa kinga ya kushuka thamani kwa fedha hiyo. Mbunge anatakiwa kwenda zaidi ya hapo.

Kuhusu uwajibikaji kwa viongozi wanaotumia mamlaka yao vibaya, alitolea mfano kwa mzee Mtei akisema kuwa Mtei akiwa gavana wa benki kuu aliiba pesa na kuchoma moto jengo la benki kuu kupoteza ushahidi havyo alitakiwa kushitakiwa kwa hilo. Utafiti kidogo usioumiza kichwa ungemwelekeza kutambua kuwa wakati benki kuu inaungua mzee Mtei alikwisha toka pale miaka mingi. Ni vema haya majembe ya CCM yakawa makini kwani vinginevyo yanaweza kujikuta matatani kwa kukashfu watu pasipo na ulazima.
 
Back
Top Bottom