Recent content by yohana Malekela

  1. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye

    Maisha ni mchezo wa kufa na kupona. Hakuna kitu salama hapa duniani. Kimsingi maisha yako hayana usalama hata kidogo Hisia zako tu ndo zinakudanganya uko salama. Kama ingekuwa ni hivyo basi kusingekuwa na bodaboda sababu hakuna anayependa kufa.
  2. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

    Ukweli mtupu
  3. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Kumbe kufanya mazoezi ni raha hivi

    Binafsi napenda kukimbia. Huwa nakimbia u mbali wa km 15 kwa mda wa dakika 54 paka lisaa ivi. Najihis vizur kweli. Mwanzo magoti yalikua yanauma sana na kifua kilikuwa kina bana sana ila saiv nimezoea. Siku 3 kila wiki
  4. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Duuh.hatari sana
  5. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Kazalishwa watoto wawili baba tofauti, then anasema hataki kuchezewa

    😂😂😂😂😂😂😂
  6. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa naogopa kumtongoza, jana kumwambia akanipa ratiba

    Tu sahau pepo😂😂😂
  7. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa naogopa kumtongoza, jana kumwambia akanipa ratiba

    Sasa unaogopa nini mkuu? Kachovye sasa na uondoke kama lilivyo kuwa lengo lako.
  8. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa naogopa kumtongoza, jana kumwambia akanipa ratiba

    P Pengine hujamwelewa. Osama kulala ni kwa sababu huyo dada anafanya biashara hiyo. Alitegemea atapata ugumu kumpata ila cha kushangaza anapewa bei elekezI moja kwa moja
  9. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

    😂😂😂😂😂mkuu kumbe umesimangwa?
  10. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

    Ukipost tu point kakamavu kama hii nakupiga Kongole. KONGOLE KUBWA KWAKO MKUU. Tujifunze na tubadilike wanaume, familia zetu zinaishi maisha ya dhiki kwa sababu ya tamaa zetu za kijinga, kama tulijua hatuwezi acha uzinzi, basi tulipaswa tusianzishe familia ambazo kwa sababu yetu katika hili...
  11. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

    Uko sahihi sana mkuu. Mtoa mada Kongole kwako chief
  12. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wake wanawaita waume zao "baba chanja", si "mume wangu" tena kama ilivyokuwa zamani

    Ngoja nikae pembeni ya dreva nisome mazingira kila tunapopita. Wakuu kuna jambo huku mwongozo wenu tafadhar
  13. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu yamekufa rasmi Valentine Day

    😂😂😂😂😂
  14. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimelala na wanawake wengi sana

    😂😂😂😂😂 jamaa umenichekesha wewe. Et kitombi
  15. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa single leo hii

    Ko ukiwa na mahusiano unakuwa umemwacha mungu?
Back
Top Bottom