Recent content by Yohana M Magembe

  1. Yohana M Magembe

    Baada ya Richmond je, bandari ya Dar es Salaam itafuata?

    Nazir Karamagi na Yogesh Manek watafanikiwa kuendelea kuinyonya Tanzania kupitia bandari ya DSM? Na Juma Kambi, Kuli Bandarini DSM Wawili hawa ni wamiliki wa kampuni ya kusimamia makontena katika bandari ya Dar (TICTS).Kwa miaka mingi wamekuwa wakipokea mabilioni ya fedha huku utendaji wa...
  2. Yohana M Magembe

    Mafuta kupanda ni mkakati wa mataifa ya Ulaya dhidi yetu

    Bei za mafuta na bei za bidhaa za viwanda vya nchi zilizoendelea zimepanda sana katika kipindi cha miaka kumi iliyopita. Tanzania sasa inawajibika kutumia asilimia sitini ya mapato yake yote ya fedha za kigeni kununulia mafuta ambapo mwaka 1972 ilitumia asilimia kumi ya fedha za kigeni kununua...
  3. Yohana M Magembe

    Kwanini Kampuni ya Mafuta ya BP ilijiondoa Tanzania?

    Sasa, bei za mafuta na bei za bidhaa za viwanda vya nchi zilizoendelea zimepanda sana katika kipindi cha miaka kumi iliyopita. Tanzania sasa inawajibika kutumia asilimia sitini ya mapato yake yote ya fedha za kigeni kununulia mafuta ambapo mwaka 1972 ilitumia asilimia kumi ya fedha za kigeni...
  4. Yohana M Magembe

    Huko Duniani Rais anapimwa hivi na taasisi zao

    Hizi ni porojo mjomba......Huko nje ni America tu tena ya kusini vipi mabara mengine sita ukiondoa Africa n yenyewe yako hivyo au ujuaji ni mwingi kwa habari za magazeti .......je USA ina marais wangapi mpaka sasa unazijua record zao,vipi hao makamu wa Rais waliopata Urais baada ya Rais kuuwawa...
  5. Yohana M Magembe

    Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Ni simulizi nzuri kwako umejitahidi kumfanya Kambona wako awe bora lakini sijaona ubora wake......Huyu aliyeapa kuilinda na kuitetea katiba ya Tanganyika.na Tanzania alikufa kwa uchu wa madaraka na ubinafsi..Alikosa Uzalendo kwa Taifa lake akishirikiana na wahuni wachache wakati huo tunawezaje...
  6. Yohana M Magembe

    "Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

    Wakolosai 3:18-19 [18]Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana. Wives, submit yourselves unto your own husbands, as it is fit in the Lord. [19]Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao. Husbands, love your wives, and be not bitter against them.
  7. Yohana M Magembe

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Mathayo 5:31-32 [31]Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; It hath been said, Whosoever shall put away his wife, let him give her a writing of divorcement: [32]lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu...
  8. Yohana M Magembe

    Barua ya ushauri: Freeman Mbowe omba msamaha ukajipange na maisha mengine

    Hivi mnafuatilia kesi lakini......Je kwenye sheria zetu ni sheria gani inasema ukiomba msamaha tu kesi inaisha? ......vipi kuhusu muda na rasilimali zilizotumika gharama yake ataibeba nani?serikali ama Ndugu Mbowe.....Kuomba msamaha ni kukiri kosa kama nitakuwa nimekuelewa Ndugu MBOWE anapaswa...
  9. Yohana M Magembe

    Kauli ya Rais Samia "Ukinizingua Nitakuzingua" Je kwa yaliyotokea hivi karibuni Rais amepata Heshima?

    Mama ni mlezi siku zote huwa anamaanisha kauli zake.....Dunia iko hapa ilipo kwa misimamo ya mama zetu
  10. Yohana M Magembe

    Nitashangaa sana kuwaona wale 'Natural Failures' 70 waliokosa 'Uteuzi' wa 'Uspika' wakigeukia tena kutaka Kugombea 'Unaibu Uspika' wa Bunge

    Ulitaka ateuliwe nani ili ufurahi na Je angekuwa ni chaguo la Watanzania ama furaha ya nafsi yako....
  11. Yohana M Magembe

    Mwalimu atelekeza kazi baada ya malipo ya mshahara wa Tsh 34,000 kwa mwezi

    Madeni aliyatengeneza kwa kuzingatia kipo chanzo cha kipato ambacho ni mshahara kutokana na kazi yake ya ualimu kama alikosa nidhamu wangefanyeje.....TSC walimpatia adhabu ya kumshusha cheo baada ya maonyo kadhaa pia kwa kuzingatia maadili ya viongozi/watumishi wa Umma....watanzania tusiwe...
  12. Yohana M Magembe

    Tujadili Matokeo ya Kidato cha Nne

    Tatizo sio takwimu Boss hapa tatizo ni Mazingira bora ndani ya mfumo serikalini kwa waliofaulu na waliofeli hayako sawa?au mazingira kwa wazazi ni magumu ama wameiachia serikali kubeba majukumu yote na wazazi kujiona hawana jukumu lolote....kingine vijana wanapaswa kujua wao ndio wajenzi wa...
  13. Yohana M Magembe

    Kundi la wababaishaji wa kisiasa ni lipi kati ya haya?

    Nimekuelewa sana Nini kifanyike ili watu tufahamu wazalendo ndani ya Taifa kisiasa na wababaishaji kisiasa Ili kuweza kutofautisha propaganda na taarifa za kujadili katika makundi haya Manne....?
  14. Yohana M Magembe

    Kundi la wababaishaji wa kisiasa ni lipi kati ya haya?

    Kwani Agenda za Watanzania zinasababishwa na Katiba Je Nini kifanyike ikiwa hakuna mchakato wa katiba kwa sasa..Au ni ubabaishaji kisiasa kwa viongozi wetu.
Back
Top Bottom