Ndugu yangu anasumbuliwa na tatizo la macho( kutoona vizuri), mchana haoni kitu chochote ni giza tu lakin usiku anaona kwambaliii sana tatizo hilo limekuwa sugu kwani tangu aanze kuumwa ni takribani miezi 6 sasa, kama kunamtu anajua tiba ya ugonjwa huu au hata ushauri pia ni muhimu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.