Recent content by yogan

  1. yogan

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

    Baki na dini yako nasi tubaki na dini yetu
  2. yogan

    JamiiForums Tanzania Deal done. Canal+ yainunua DSTV

    Source?
  3. yogan

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

    Kama haja yako ni kujua basi tumekuwekea elimu hapo soma na bila Shaka utafahamu maana ya Aya na si kama ulivyoileta. Surat Muhammad – Aya ya 7 Arabic: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ Tafsiri ya Kiswahili Sahihi: Enyi mlioamini...
  4. yogan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyekiti wa Vilabu African Eng. Hersi hajatoa pongezi kwa Simba hadi sasa?

    Muda umeisha ? Mbona mnakamdomo Sana?
  5. yogan

    JamiiForums Tanzania Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Na kikubwa zaidi mkulima atapata zaidi ya anavyopata sasa wananyonywa Sana
  6. yogan

    JamiiForums Tanzania Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Tukifanikiwa hawa bidhaa nyingi za masokoni zitashuka bei na mtaona maumivu ya ughali WA maisha unapungua
  7. yogan

    JamiiForums Tanzania Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Huu ni utaratibu unaoratibiwa na masoko niliyoyataja
  8. yogan

    JamiiForums Tanzania Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Tuwaamshe Kwa kweli hili Jambo linamfanya mkulima anakuwa Masikini kila siku. MADALALI hawana uchungu na mali za mkulima hata kidogo ona hapo ndizi zimeoza wamegoma kushusha bei basi wangetoa hata sadaka Tu lkn MADALALI wamekomaa sana
  9. yogan

    JamiiForums Tanzania Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Yaani zaidi ya kibaka aysee hawa jamaa ndo wanaleta maisha magumu kwa wananchi
  10. yogan

    JamiiForums Tanzania Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Mimi ninauza genge la mboga mboga na matunda.Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa biashara katika masoko ya jijini Dar es salaam kama Mabibo, Buguruni, Temeke, Stereo na Ilala. Katika masoko yote haya hakuna mkulima anaruhusiwa kuuza BIDHAA zake sokoni. Mzigo unapofika sokoni...
  11. yogan

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    19April Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
  12. yogan

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa waislamu kufunga barabara kisa wanaswali?

    Muda wenyewe mchache Sana nadhani halifiki hata saa moja nadhani linavumilika ! Kinachotokea ni kwamba msikiti unakuwa hautoshi,hivyo watu hulazimika kutumia barabara Kufanya ibada hiyo...
  13. yogan

    JamiiForums Tanzania Msaada Wa kozi ya Occupational Health and Safety

    Ni kweli anasoma lkn aende mara nyingi Sana ndo ataelewa vzr
  14. yogan

    JamiiForums Tanzania Msaada Wa kozi ya Occupational Health and Safety

    Wanaojua watakuja kukujibu. Ni swali zuri bila Shaka tutafaidika wengi likijibiwa!
  15. yogan

    JamiiForums Tanzania Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

    Yangu macho Tu... Yaan Nabii anapigiwa Debe na masheikh? Ajabu kubwa hii njaa mbaya sana
Back
Top Bottom