Recent content by Yofav

  1. Yofav

    JamiiForums Tanzania Betting imeniliza jamani🙌

    kweli
  2. Yofav

    JamiiForums Tanzania Betting imeniliza jamani🙌

    mara chache
  3. Yofav

    JamiiForums Tanzania Betting imeniliza jamani🙌

    Ndo imekaaje hiyo
  4. Yofav

    JamiiForums Tanzania Betting imeniliza jamani🙌

    Ni kamchezo fulani ambako usipokuwa na displine anguko lako lipo karibu, Sikuelewa wakati nilipomuona mtu anaedai kupoteza kila kitu kwenye kamari, Nilimuona mjinga nikijiuliza "Amepotezaje???" Kamchezo ambako usipokuwa makini unaweza kujikuta unadundulizia humo kila senti yako unayoona ni...
  5. Yofav

    JamiiForums Tanzania Kapteni Tesha alipotelea wapi?

    Unauliza swali la kijinga alafu unajiona smart. Sasa wewe unategemea afanye nini sasa akiwa peke yake?
  6. Yofav

    JamiiForums Tanzania Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

    Humu kuna watoto wengi sana now days, Ndo maana nawaambiaga msijiachie sana na nyuzi zenu… Punguzeni ukali
  7. Yofav

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kupata usingizi mchana

    Mazoezi, Ukianza utaratibu wa mazoezi makali usiku au asubuhi mwili utakuwa rafiki wa kitanda
  8. Yofav

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Kipozeo: Haki haiwezi kupatikana bila ya Amani

    Ufahamu ni kidoncho sana.
  9. Yofav

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa zilipo Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo

    ulipata?
  10. Yofav

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi ni sahihi CRDB kukata mkopo wao kwenye pesa ambayo sio mshahara?

    Unataka ukiacha kazi ya kulipwa mshahara na deni life?
  11. Yofav

    JamiiForums Tanzania Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Ungejibu tu ndiyo/hapana… Hayo mengine hajakuuliza
  12. Yofav

    JamiiForums Tanzania Usiku wa kuamkia D9: Yajayo yanafurahisha - Karibu Tuzogoe!

    Are you in the market or something???
  13. Yofav

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Bado hamjasema, Itafika time uwoga utakaa pembeni na watu wataacha unafiki
Back
Top Bottom