Magufuli ni wakuongozwa sio wakuongoza na Kama Mnabisha akishinda mtaona watanzania msioelewa mnakuja kuwa washabiki halafu walio wengi wanateseka kwa masilahi yenu
Utajuta tarehe 25 utakapo ona CCm yako ikifia Mbali na yawezekana wapendwa mnaopenda CCm mnamasilahi yenu hapo au wazazi wenu maanake siamini Kama maisha yalivyo toka miaka kumi iliyopita halafu bado mnawataka Hawa CCm? Shame Mna masilahi ?!!!!!!!'nn
Acha unafikiiiiiiiiiii unataka nilie yaan huyu huyu alikuja kumnadi lowasa akitafuta tickets ya CCm je huku mwona au ulikuwa haujazaliwa funga mdomo ona aibu maanake akiwa kwenu ulimpenda sasa akiwa nje unamdharau ni no no no
Sasa mwanangu akiamka asubuhi anasema baba CCm wamekataa umeme na ni mtoto wa miaka miwil kasoro shame sana badiliken I ambie serikali yako hivi ukileta umeme saa Saba usiku na kuukata saa kumi na mbili asubuhi ni busara kweli nani a nafanyaga kazi na huo umeme mda huo mwenye saloon no mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.