Recent content by yoel

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Nina 200,000/= naweza pata simu gani wakuu?

    190
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Nina 200,000/= naweza pata simu gani wakuu?

    32/16???
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Nina 200,000/= naweza pata simu gani wakuu?

    inbox
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ka utabiri wako ni wa dk 45 tu matokeo yatahusika ila ka ni fulltime gawanya izo odd mzee yani zikate iwe 1.00 odd
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    install NEXT BROWSER au UC BROWSER asee inafungua meridian fresh tu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    simu yoyote inasuport mkuu sema unatumia simu gani usaidiwe
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya DECODA za Star times

    bro mi kingamuzi changu kina code na sizijui nlinunua kwa mtu nkiingia setting kinadai msaada wako pls
  8. Y

    JamiiForums Tanzania King'amuzi changu kimepoteza chaneli kibao naomba msaada

    habar bro mi nna kingamuzi cha startimes nlinunua kwa mtu ila nkiingia setting inadai code na maeneo baadhi na izo code sizijui wala alieniuzia azijui nfanyeje msaada pls!!
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wazee wa basket leo night tupia mzigo mapema ukiamka mambo safi tu ata mteni unatosha 01:00 Philadelphia 76ers – Minnesota Timberwolves/ 2 1,70 01:30 Brooklyn Nets – Toronto Raptors /Toronto over 102,5 points 1,90 02:00 Miami Heat – Dallas Mavericks /Dallas over 100,5 points 1,90
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kitu kama 15 minute ila sina uakika NCAA n yakichoko huwa awafungani sana rabda uwe unacheza under
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    3/4 inapoanza mkuu
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    yap brazil anaweza zingua paraguay ni watata nao au niipe double chance
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BESKITAS SEVILA VILAREAL URUGUAY U20 BRAZIL U20 ARGENTINA U20 za leo izo toa ambayo uiamini afu uweke ela yako ya chakula cha mchana na usiku
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    paluke we jaza sehemu zenye nyota tu sehemu nyingne sio lazima
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    under ni chini ya magoal yaliopangwa na over ni zaid ya magoal yaliopangwa mfano iyo mechi wameweka goal 180 ukiweka under yasizid ayo magoal ukiweka over yazid ayo magoal ndomana kipindi unacheza inabid usubil matokeo ya set ya kwanza na ya pil ili uone mwelekeo ujue iyo mechi uweke under or...
Back
Top Bottom