Recent content by ynna

  1. ynna

    Naombeni msaada detailed kilimo cha alizeti

    Upandaji Eka1 inahitaji mbegu kg 2 =na sh 60-70gharama ya mbegu. Shina ad shina cm 30,mstar had mstari cm 60. Mavuno 1eka =Gunia 13-17 Gunia 1=debe saba Gunia 1linatoa mafuta lita34-37 Zaid soma hiyo attachment. Asanbten sana
  2. ynna

    Naombeni msaada detailed kilimo cha alizeti

    Asante Sana wana jf kwa mchango wenu. Shukran kwan had nimefanikiwa kuwapata wazalishaji na wasambazaji.
  3. ynna

    Naombeni msaada detailed kilimo cha alizeti

    steveachi, Asante sana nashukuru ndugu ila naomba tena kujua baadhi ya vitu, 1. Umemaanisha gunia la debe ngapi? 2. Mafuta yake yana utofauti wowote na mafuta ya aina nyingine za alizeti? Naona bei kubwa sana. Asante.
  4. ynna

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Du pole ningepata huu uz mapema. Wake doxcol kwa doz ya kijiko cha chakula kwa maji Lita 10. Pamoja na multivitamin kama farmvita. Yalikua mafua makali eidha yaliambatana na Kuku kuvimba macho, kukoroma n.k ko ilibid ubadili dawa.
  5. ynna

    Naombeni msaada detailed kilimo cha alizeti

    Nipo Njombe vijijini (Kata ya Ikondo) ambako mazao yanakubali bila aina yoyote ya mbolea. Ipi mbegu bora ya alizeti yenye mavuno mengi, na makadrio ya gharama ya uendeshaji (running cost) up to revenue and profit kwa ekari 1. Natanguliza shukrani za dhati wana JF.
  6. ynna

    Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Na Mimi nahitaji hiyo elim Nko njombe vijijin
  7. ynna

    Nahitaji Kuku kuroila au sasso nko Mbeya

    Naomben mnsaidie WAP naweza kupata huku Nyanda za juu kusin asanten.
  8. ynna

    Inawezekana kuchaguliwa PCB ikiwa nina D ya Chemistry?

    Possible kama na the wakiruhusu kuapply vton apply vyuo tofauttofut huku ukichang chet ,dip, hivohivo
  9. ynna

    Nimefanikiwa kupata kazi Botswana

    Botswana ni nch ya kwanza inayotegemea uchumi wake mifugo hasa ng'ombe. VP unaonaje huko hat project mbalimbali maana wengine tuna procession hizo tunasota tu Tz
  10. ynna

    Msaada: Nisomee stashahada ipi kati ya afya na uhandisi kwa matokeo haya?

    Subili guide book yao ila unaweza ukaanza na astashahada yoyote bila mjadala kwa ciurse za afya kama CO, medica assistant, n.k
  11. ynna

    Inawezekana kuchaguliwa PCB ikiwa nina D ya Chemistry?

    Ushauri uskate Rama nenda private utafanya reform kwa hill simo bika kupoteza chembe ya mda
  12. ynna

    Msaada, kuhusu Bsc environment Heath sience

    Nisaidien jaman soko la ajira yake,, na inahusu nini hasa na vigezo kujiunga equivalent qualification. Asante
  13. ynna

    NACTE tafadhali toeni transcript

    Jamani naombeni anayejua kwanini NACTE wanatucheleweshea vyeti na transcript.
Back
Top Bottom