Haahaaa laaa laaa!!! Wengine hulipwagwa humu eeh!!!, kuanzia leo ndio na anza kustuka "uzalendo hauliwi" Hii kauli mbiu ya uzalendo hauliwi ya wezekana ndio iliokuwa ikitumiwa na wale waliotuingiza katika mikataba ya ajabu kwelikweli.
Ni kweli wakati akiwa JWTZ taaluma yake ilikuwa ni PEO na alikuwa mwenyekiti wa jumuiya ya chama jeshi. Wakati huo jeshi likiwa moja ya jumuiya za chama?
Lazima nigombee uwenyekiti taifa safari hii kupima jinsi demokrasia ambavyo imeota mizizi kwa mchina kukubalika si mmatumbi , mchina cdm na sitakubali ile demokrasis ya kuombwa na wazee kuondo jina langu ni mpishe mchagga.
Naomba kuuliza kodi ya majengo inawahusu nani kati ya wenye majengo na wafanyabiashara. Je wenye majengo ni wafanyabiashara au wenye majengo au wote? Kwa maana ya wafanyabiashara na wenye majengo na wote. Je wanasiasa wanamajengo?
Kwa umri wake ndio ananza kuvaa gwanda sasa? Angejifunza kwa hayati Castro wa Cuba uzee ulipo mkabili aliachana na Gwanda na amekufa akiwa anavaa masharti ya bahamamama na msuli.
Hata mwezi may tulitangaziwa mwanasheria wa accacia yuko londoni kufungua kesi, mwezi wa oktoba sasa unaisha hatuja iona hiyo kesi.
Kumbe hawa viumbe wazungu wakishikwa wizi wanaweweseka hivi si kulijua hili. Asante mh Rais wa JMT.
Mchina wajF.
Na washawasha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.