Recent content by YinYang

  1. YinYang

    Tupike Chapati za mayai na supu ya samaki

    Nimefuta kauli mkuu 😂😂
  2. YinYang

    Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Taasisi ndio iko hivyo, hatupokei hela.
  3. YinYang

    Waziri Dorothy Gwajima atembelea Ofisi za JamiiForums asema amenufaika sana kuwa Mwanachama wa JF

    Asante sana. Nasi tunashukuru kwa uwepo wako humu na kushughulikia kero na malalamiko yanayoletwa na wananchi wanaotumia JamiiForums.
  4. YinYang

    Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

    JamiiForums inachukua email tu wakati wakujisajili kwa mwanachama. Email ya mwanachama tunakuwa nayo ili kureset password inapohitajika na sio kwa matumizi mengine. Tafadhali soma zaidi kuhusu sera yetu ya faragha Privacy policy
  5. YinYang

    Serikali ya mtaa wa Mwenge, Dar es Salaam mnanufaika vipi na huyu mtu aliyefunga mtaa wa Zayumba mbele ya Kibo Bar?

    JamiiForums inatumiwa na watu wa Afrika Mashariki na wengine ni waungumzaji wa kiswahili waliokuwa nje ya Afrika. Kuandika mada kama kila mmoja ni mkazi wa Mwenge inaleta ukakasi kidogo. Tafadhali andika kwa namna ambayo kama mtu sio mkazi wa maeneo husika anaweza kuelewa kinachozungumzwa. Hata...
  6. YinYang

    Kazi zenye Furaha zaidi ulimwenguni kote

    Ngoja nijipakulie minyama. Content Moderation pia ina raha mkuu. Unazurura majukwaani unasoma yanayoandikwa unacheka tu!
  7. YinYang

    Safari za Rais Samia nje ya nchi

    Habari Nyani Ngabu Kujua safari za rais tafadhali soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
  8. YinYang

    Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

    Tafadhali fuata hatua hizi App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
  9. YinYang

    Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

    Tafadhali fuata hatua hizi App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
  10. YinYang

    Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

    Tafadhali fuata hatua hizi kuwa na app nyingine App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
  11. YinYang

    Ungependa kukutana na hawa JF members?

    Mkuu Analyse , Sina uwezo wa kuingia PM yako, na hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuingilia PM yako. Kwenye uwanja wa PM kuna sehemu ya Participants ambapo inakuruhusu kuangalia watu mliokwenye maongezi. Hizo tuhuma unazoleta hazina ukweli wowote.
  12. YinYang

    Ungependa kukutana na hawa JF members?

    Hakuna mwenye uwezo wa kuingilia PM ya mtu yeyote. Unapokuwa PM angalia idadi ya watu waliopo (kwa kubonyeza nukta tatu upande wa kulia, chaguo la kwanza lilioandikwa "Participants") na kama mtu sio sehemu ya mjadala bofya Kick-out kumtoa.
  13. YinYang

    Ungependa kukutana na hawa JF members?

    Uwezo wa ku-kick out bado upo, unaweza kujaribu na uniambie kama haujaweza ku-kick out mtu usiyemuhitaji
Back
Top Bottom