fuso tipper ya mchanga naamka saa 10 alfajil naandesha kutwa nzima had nimalize trip zangu 4 saa 1 usiku, napumzika kama dk20 tu pale nikiwa nakula.
Mwendo ni km 100 kwend na kurud Mbez-Kibaha barabara rami kidgo na rafu road kwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu watabibu,
Nina miaka 27 sasa, mimi ni dereva wa gari. Nahisi ndiyo tatizo langu lilipoanzia, seat ya hili gari inagonga sana ukijumlisha na njia ninayoendeshea. Twende kwenye maada sasa.
Yapata mwezi sasa kiuno kinauma sana nikiwa nimekaa kwa mda mrefu nikiinuka tu kiuno kinakaza...
nimemuangalia kweny game hyo hyo vs liva yuko kama per martesacker ni mzur kwa mipra ya juu ila mzito sana yuko slow kama pique
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.